Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Ohooooh! Uyo kaanzia uzeeni anarudi utotonikwa umri wake bado, sidhani kama anaweza kulaπ€
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohooooh! Uyo kaanzia uzeeni anarudi utotonikwa umri wake bado, sidhani kama anaweza kulaπ€
πππππ, aisee π πOhooooh! Uyo kaanzia uzeeni anarudi utotoni
Uko sahihi sana,hata mm hua najiuliza sanaa yaani mtu aache shuguli zake aanze kushinda jf kuburudhisha watu ambao masaa yote wako n smartphone mikononi wakiperuzi nakuhama majukwaa tofauti tofauti.kazi zinatofautiana kun baadhi yamajukumu yanachukua concentration ya muhusika asilimia miamoja,hii inadhihidisha jinsi watanzania tulivyo wavivu na hatujiheshimukabisa.Jamani hivi mnataka steve aache shughuli zake za kumuingizia kipato ili muda huo autumie hapa kuwaburudisha nyie waja? Yeye ni mtu mzima na anajua hajamaliza hadithi lakini kuna maisha nje ya jf huwezi kujua anapitia changamoto gani, tuwe wavumilivu.
π Naona atakua anasoma akikutana na koments analike kwanza ππ!.πππππnaona analike kwanza
Huyu sasa anatuchosha
Mi sijasoma story tena zaidi ya ile Analyseπ Naona atakua anasoma akikutana na koments analike kwanza ππ!.
Hivi mwendelezo ndio ulishindikana kabisa???? Hii ya pili Stivu anaiachia njiani Kuna ile ya Tujibane hai tutasimulia pia ilikua Hivihivi!!
Yaani no bampa to bampa mkuu,ukiona umepata like ujue ya story ya juu yaje nishaipitia,nilimuachaga bw SteveMollel asogee sogee kwanza ili cku nikimuanzia basi nahakikisha namalizana nae cku hio hio au cku ya pili,Leo nimemuanza jioni ya SAA kumi na ntahakikisha nalala SAA kumi usiku,SAA mbili zantosha KBS kulalaπmkuu mmash ushalimaliza kuisoma au bado unalike kwanzaa,π!! Santo sanaa likes nazipata kama zoutreeee!!
Sema hii hajaimaliziaa banaa katuacha njiani kama ile ya Tujibane haiii!! Sijui Stivu anakwama wapii sikuhizi!!Yaani no bampa to bampa mkuu,ukiona umepata like ujue ya story ya juu yaje nishaipitia,nilimuachaga bw SteveMollel asogee sogee kwanza ili cku nikimuanzia basi nahakikisha namalizana nae cku hio hio au cku ya pili,Leo nimemuanza jioni ya SAA kumi na ntahakikisha nalala SAA kumi usiku,SAA mbili zantosha KBS kulalaπ
Yeleuwiiiiπ,mm nakaza msuli hapa na popcorn zangu sado nzima imejaa na juice Lita 2 nikitaraji Leo namaliza kumbe huko lembe hakuna kitu?πSema hii hajaimaliziaa badaa katuacha njiani kama ile ya Tujibane haiii!! Sijui Stivu anakwama wapii sikuhizi!!
Hatoi hata ushirikianoπππSa aliinjoy nini mtu yupo tu hata hana ufahamu na hajui kama wanafanya jamani!! Hata hisia zinakuja kweli???
Yanii hata utelezi Sijui unapatikanaje hapo π!Hatoi hata ushirikianoπππ
ππππ,nakuzoom ujueπYanii hata utelezi Sijui unapatikanaje hapo π!
ππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈπ€ππππ,nakuzoom ujueπ
Aisee yule jamaa alinikwaza sana na Alvin wakeHizi simulizi ni changamoto sana. Kuna ile ya Lisa tulikua tunaendelea nayo vizuriii mara paaap tukaambiwa muandishi kufunga sehemu za copy and paste telegram tukaomba tutumiwe screenshot wakasema itakua ngumu sana. Hatujakaa vizuri muandishi mwenyewe akajitokeza na kutoa namba ya simu mambo ya kuuziana story yakaanzia hapo daaah
hahaHivi hii haijaisha bado?