Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Anashindwa kuendeleza. Anaomba ushauri aendeleze vipi kwa jamaa zake. Nao wanamwambia tatizo alidanganya kuwa ni true story akawa ana copy tu kwa mtunzi. Sasa wengine wanasema katolewa kwenye lile group la msimuliaji. So ana haha kurudishwa ili awe analeta visa hapa.Mara mwingine anasema nilifiwa wkt anaonekana kwenye majukwa ya michezo