Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Anashindwa kuendeleza. Anaomba ushauri aendeleze vipi kwa jamaa zake. Nao wanamwambia tatizo alidanganya kuwa ni true story akawa ana copy tu kwa mtunzi. Sasa wengine wanasema katolewa kwenye lile group la msimuliaji. So ana haha kurudishwa ili awe analeta visa hapa.Mara mwingine anasema nilifiwa wkt anaonekana kwenye majukwa ya michezo
Mbona mwanzo tu wa simulizi alisema hii story hakuitunga yeye. Alisimuliwa tu na Dada ShunieAnashindwa kuendeleza. Anaomba ushauri aendeleze vipi kwa jamaa zake. Nao wanamwambia tatizo alidanganya kuwa ni true story akawa ana copy tu kwa mtunzi. Sasa wengine wanasema katolewa kwenye lile group la msimuliaji. So ana haha kurudishwa ili awe analeta visa hapa.
Mweh na wauza maharage ya aftatu kilo tuwafanyaje tukimbembeleza yyItakuwa mmemsema sana, hadi anaona ganzi kurudi. Mbembelezeni kidogo 😅
😅😅😅😅Mweh na wauza maharage ya aftatu kilo tuwafanyaje tukimbembeleza yy
Weekend moja nitawaomba tujumuike pa1 mahali,tubadilishane mawazo,Niko nae hapa mkuu chamwino karibu Sana [emoji38]
Good to know sis,..........Yess bro
Thanx bro..Good to know sis,..........
Krb kisasa
Wenye nchi tuko huku... 😆 😆 😆Niko nae hapa mkuu chamwino karibu Sana [emoji38]
Achana na huku kuna sehemu nimekuita sijui hupati tagInakera sana watu tumefatilia uzi weee
[emoji23] mimi tena mbona mapya hayaMbona mwanzo tu wa simulizi alisema hii story hakuitunga yeye. Alisimuliwa tu na Dada Shunie
Hivi karibuni alipatwa na msiba, muwe wapole akiwa sawa atarejea kusimulia simulizi kama alivyosimuliwa
Inakera sana watu tumefatilia uzi weee
Mweh na wauza maharage ya aftatu kilo tuwafanyaje tukimbembeleza yy
Achaneni na arosto njoeni hukuMbona mwanzo tu wa simulizi alisema hii story hakuitunga yeye. Alisimuliwa tu na Dada Shunie
Hivi karibuni alipatwa na msiba, muwe wapole akiwa sawa atarejea kusimulia simulizi kama alivyosimuliwa
AsanteAchaneni na arosto njoeni huku
Hadithi: Mpangaji
Karibuni Tena katika story hii Kama kawaida ni mwanzo mpaka mwisho hakuna kuishia njiani Kutoka "madam president" na ",kesi ya Mzee Mnyoka" Ssa Leo tunaanza kisa kingine Cha Mpangaji Mtunzi ni Mimi mwenyewe CK Allan (0746 Mia mbili sitini na sita mia mbili sitini na Saba) MPANGAJI 01...www.jamiiforums.com
Nimepita na link ,shukrani sana kama kuna ingine weka link plsAchaneni na arosto njoeni huku
Hadithi: Mpangaji
Karibuni Tena katika story hii Kama kawaida ni mwanzo mpaka mwisho hakuna kuishia njiani Kutoka "madam president" na ",kesi ya Mzee Mnyoka" Ssa Leo tunaanza kisa kingine Cha Mpangaji Mtunzi ni Mimi mwenyewe CK Allan (0746 Mia mbili sitini na sita mia mbili sitini na Saba) MPANGAJI 01...www.jamiiforums.com
Achaneni na arosto njoeni huku