Gily Gru
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 8,632
- 23,673
Mwendelezo unawez kukesha maana kuna siku nilisubiri nikajikuta imefika saa tisaSijui nilale au niendelee kusubiri muendelezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwendelezo unawez kukesha maana kuna siku nilisubiri nikajikuta imefika saa tisaSijui nilale au niendelee kusubiri muendelezo
Lala ila nitakushtua mimi ndio bwana mdogo AmiriSijui nilale au niendelee kusubiri muendelezo
Huna huo uwezo mtoto mrembo. Macho yashaanza kukulegea.Sijui nilale au niendelee kusubiri muendelezo
Haha nilitaka kuandika hivi umeniwahi!! Anapita kila thread inayohusu Simba.Tuweni Wavumilivu, Msimualiaji wetu ana maumivu makali sana yaliyogawanyika katika mafungu saba.
Hii ni baada ya Mnyama kumchakaza bila huruma Horoya. Tuendelee kumvumilia.
SteveMollel tunasubiri muendelezo
Yaaaani chali kweli kweliHuna huo uwezo mtoto mrembo. Macho yashaanza kukulegea.
Haya Ni mazoe mabaya Kama haweZi kuwazilisha Kila siku bas ampe ndugu yetu DeepPond atuwasilishie Nina hakika ndani ya siku mbili Kila kitu kimeisha hapa na kutawanyika kuliko huu upuuz unofanywa kwa makusudiNaona hakuna mzigo mpya...
Yaani nimeweka pozi mwenyewe nafungua Jf nisome, anatukatili
Usiku nmechungulia hola. Asbh nakutana na tag yako bado hola dahh[emoji53][emoji53]
Pole. Tupo tunasubiri.Samahani kwa kutopost jana. Mazingira hayakuwa rafiki kabisa maana nilishinda kwenye usafiri njiani. Leo tunaendelea.
Zote nipo napita nazo kimya kimya utaona natembeza tu like ubarikiwe sana mkuu AntonniaMkuu ndukulusudicho hii ushaisoma??? Iko vyedi pia hekaheka za mtu na wakweze!