Niliweka shada za maua kwenye makaburi matano ya watu wangu wa karibu

Nitag ikiisha mkuu. Kwasasa nawaachia nyie
gru-despicable-me-3-2017 (3).jpg
 
Kuna kipindi kuna mbibi nilikua namuota daily anakuwa kama ananikaba nikawa nasali anapotea..I hope alikua mtu kweli..ukitokewa na lolote sala
Last time nimeenda Rombo nilikabwa. Like halikuwa kabali bali roba sio mchezo nilitapatapa sana bado kidogo ningejinyea😃🤣

Nikichinja mbuzi wawil like seriously kwa wazee
 
Mbona Rombo hizo mambo hazipo? Au na wao wameshaanza ulozi...
 
No kuna kipindi nilikuw naandika some stories za wasanii wa zamani. Nikaenda kwenye makabiri ya my old ancestors. Nikasali vizuri nikaend. From that day nikawa silali si unajua ukikata usingizi for 48hrs unaweza kata kamba. Ila nilikuw nalala one hour for four days. Nikamweleza mzee mmoja akasema wazee wanataka mbuzi ikanitoka 350,000 kununua mbuzi walivyochinja nikasepa sijarudi Rombo since 2018.
Nilikabwa sijawah ona niliteseka sana Mungu anajua kwa kweli😊
 
Daah pole aisee...haya mambo sio poa unakabwa huoni msaada
 
Back
Top Bottom