Niliweka shada za maua kwenye makaburi matano ya watu wangu wa karibu

No kuna kipindi nilikuw naandika some stories za wasanii wa zamani. Nikaenda kwenye makabiri ya my old ancestors. Nikasali vizuri nikaend. From that day nikawa silali si unajua ukikata usingizi for 48hrs unaweza kata kamba. Ila nilikuw nalala one hour for four days. Nikamweleza mzee mmoja akasema wazee wanataka mbuzi ikanitoka 350,000 kununua mbuzi walivyochinja nikasepa sijarudi Rombo since 2018.
Nilikabwa sijawah ona niliteseka sana Mungu anajua kwa kweli😊
😅😅😅😅😅
 
Baba usiipitie nakuomba sana kijana hayuko siriaz hatumi kwa wakati zipo nyingi huko kungineko baba nenda huko huyu usimpe credit ya kusomwa na wewe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]umeanza matatizo yako
 
Alikuwa kalewa huyo 😅😅😅
f4ff6aef976a226c3a08123b076e3e7d-0 (1).jpg
 
Unaenda mitaa ya watu huku unayumba yumba? 😅😅
Juzi nilipiga mbege na dogo mmoja wa songea akanyw kama maji usiku tumbo lilimuuma gas alilia kama mtoto mdogo. Nikamshindilia Maji mengi akatapika sana na tumbo likaachia.
Kunywa kwa kiasi ikizidi shida😃 uzuri situmii kilevu zaidi ya mbege
 
No kuna kipindi nilikuw naandika some stories za wasanii wa zamani. Nikaenda kwenye makabiri ya my old ancestors. Nikasali vizuri nikaend. From that day nikawa silali si unajua ukikata usingizi for 48hrs unaweza kata kamba. Ila nilikuw nalala one hour for four days. Nikamweleza mzee mmoja akasema wazee wanataka mbuzi ikanitoka 350,000 kununua mbuzi walivyochinja nikasepa sijarudi Rombo since 2018.
Nilikabwa sijawah ona niliteseka sana Mungu anajua kwa kweli😊
Shusha stor hiyo
 
Juzi nilipiga mbege na dogo mmoja wa songea akanyw kama maji usiku tumbo lilimuuma gas alilia kama mtoto mdogo. Nikamshindilia Maji mengi akatapika sana na tumbo likaachia.
Kunywa kwa kiasi ikizidi shida😃 uzuri situmii kilevu zaidi ya mbege
Ulitaka umuue mngoni wa watu? Yeye kazoea ulanzi, sio mbege 😅😅
 
Yule dogo akiona mbege atakaa mbali sana 😃
Hawezi kurudia tena huyo. Wakati nipo chalii, niliokotaga kikopo fulani hivi. Nilihangaika nacho sana hadi kukifungua. Nilivyofanikisha kukifungua, ndani kilikuwa empty ila kuna mabaki ya unga unga mweusi, nikakinusa. Aisee, ndani ya dakika chache mwili wote haukuwa nguvu.

Kufika home nilifanya kubebwa Na kukimbizwa hospital. Siku niliyopona, wakati natoka hospital, tulivyofika nje ya uzio wa hospital, Mshua alinigonga konzi moja Kali la kushtukiza kichwani. Tokea siku hiyo, nikikumbuka maumivu ya lile konzi na jinsi mwili ulivyokuwa after kunusa kile kikopo, huwa sipo curious tena 😅😅😅
 
Hawezi kurudia tena huyo. Wakati nipo chalii, niliokotaga kikopo fulani hivi. Nilihangaika nacho sana hadi kukifungua. Nilivyofanikisha kukifungua, ndani kilikuwa empty ila kuna mabaki ya unga unga mweusi, nikakinusa. Aisee, ndani ya dakika chache mwili wote haukuwa nguvu.

Kufika home nilifanya kubebwa Na kukimbizwa hospital. Siku niliyopona, wakati natoka hospital, tulivyofika nje ya uzio wa hospital, Mshua alinigonga konzi moja Kali la kushtukiza kichwani. Tokea siku hiyo, nikikumbuka maumivu ya lile konzi na jinsi mwili ulivyokuwa after kunusa kile kikopo, huwa sipo curious tena [emoji28][emoji28][emoji28]
Ila wewe una matukio [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom