Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
😅😅😅 Kalewa machicha alaf anakatisha mitaa ya watuHAaaaaha chicha za mbege
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅😅 Kalewa machicha alaf anakatisha mitaa ya watuHAaaaaha chicha za mbege
😅😅😅😅😅No kuna kipindi nilikuw naandika some stories za wasanii wa zamani. Nikaenda kwenye makabiri ya my old ancestors. Nikasali vizuri nikaend. From that day nikawa silali si unajua ukikata usingizi for 48hrs unaweza kata kamba. Ila nilikuw nalala one hour for four days. Nikamweleza mzee mmoja akasema wazee wanataka mbuzi ikanitoka 350,000 kununua mbuzi walivyochinja nikasepa sijarudi Rombo since 2018.
Nilikabwa sijawah ona niliteseka sana Mungu anajua kwa kweli😊
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]umeanza matatizo yakoBaba usiipitie nakuomba sana kijana hayuko siriaz hatumi kwa wakati zipo nyingi huko kungineko baba nenda huko huyu usimpe credit ya kusomwa na wewe
Jana na leo, nipo mwalim
Alikuwa kalewa huyo 😅😅😅
umesem mbege umenip arosto mate yanadondoka😅😅😅 Kalewa machicha alaf anakatisha mitaa ya watu
Unaenda mitaa ya watu huku unayumba yumba? 😅😅umesem mbege umenip arosto mate yanadondoka
Juzi nilipiga mbege na dogo mmoja wa songea akanyw kama maji usiku tumbo lilimuuma gas alilia kama mtoto mdogo. Nikamshindilia Maji mengi akatapika sana na tumbo likaachia.Unaenda mitaa ya watu huku unayumba yumba? 😅😅
Shusha stor hiyoNo kuna kipindi nilikuw naandika some stories za wasanii wa zamani. Nikaenda kwenye makabiri ya my old ancestors. Nikasali vizuri nikaend. From that day nikawa silali si unajua ukikata usingizi for 48hrs unaweza kata kamba. Ila nilikuw nalala one hour for four days. Nikamweleza mzee mmoja akasema wazee wanataka mbuzi ikanitoka 350,000 kununua mbuzi walivyochinja nikasepa sijarudi Rombo since 2018.
Nilikabwa sijawah ona niliteseka sana Mungu anajua kwa kweli😊
Ulitaka umuue mngoni wa watu? Yeye kazoea ulanzi, sio mbege 😅😅Juzi nilipiga mbege na dogo mmoja wa songea akanyw kama maji usiku tumbo lilimuuma gas alilia kama mtoto mdogo. Nikamshindilia Maji mengi akatapika sana na tumbo likaachia.
Kunywa kwa kiasi ikizidi shida😃 uzuri situmii kilevu zaidi ya mbege
Sadly I am not a story teller 😃Shusha stor hiyo
Yule dogo akiona mbege atakaa mbali sana 😃Ulitaka umuue mngoni wa watu? Yeye kazoea ulanzi, sio mbege 😅😅
Niadithie miniSadly I am not a story teller 😃
Hawezi kurudia tena huyo. Wakati nipo chalii, niliokotaga kikopo fulani hivi. Nilihangaika nacho sana hadi kukifungua. Nilivyofanikisha kukifungua, ndani kilikuwa empty ila kuna mabaki ya unga unga mweusi, nikakinusa. Aisee, ndani ya dakika chache mwili wote haukuwa nguvu.Yule dogo akiona mbege atakaa mbali sana 😃
Adi nimesahau tulipoishia....
Ila wewe una matukio [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hawezi kurudia tena huyo. Wakati nipo chalii, niliokotaga kikopo fulani hivi. Nilihangaika nacho sana hadi kukifungua. Nilivyofanikisha kukifungua, ndani kilikuwa empty ila kuna mabaki ya unga unga mweusi, nikakinusa. Aisee, ndani ya dakika chache mwili wote haukuwa nguvu.
Kufika home nilifanya kubebwa Na kukimbizwa hospital. Siku niliyopona, wakati natoka hospital, tulivyofika nje ya uzio wa hospital, Mshua alinigonga konzi moja Kali la kushtukiza kichwani. Tokea siku hiyo, nikikumbuka maumivu ya lile konzi na jinsi mwili ulivyokuwa after kunusa kile kikopo, huwa sipo curious tena [emoji28][emoji28][emoji28]
a haaa uwiiii nimekuomba uwe unanipa gaidensi endi kanseling mwenzio[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]umeanza matatizo yako
haya usirudie tena eeeh,kuwa mpole kama mimiH
a haaa uwiiii nimekuomba uwe unanipa gaidensi endi kanseling mwenzio