Ni ushamba kudanganya mkuu, hata mimi hiyo tabia huwa siipendi kabisa.Maana yake ni kwamba wewe humpi huyo binti hela za matumizi. Wewe ni bahili sana ndio maana binti aliamua hata adanganye ili umpe pesa.
Usivyo na akili na ubahili wako bado ukakomaa hadi ukapajua kwao ili mradi uhakikishe ili usitoe 50k.
Kaka mpe huyo mtoto hela ya matumizi. Kama umempenda basi mhudumie, acha ubahili.
Elfu 50 tu unatafta kwao binti hadi upajue, akiomba laki 5 si itakua balaa, utatafta hadi makaburi ya babu zake.
Huyo binti kaamua atumie njia ya uongo ili apate pesa. Maana yake ni kwamba jamaa hampi hela, hakuna maelezo mengine zaidi ya hayo.Ni ushamba kudanganya mkuu, hata mimi hiyo tabia huwa siipendi kabisa.
Kheri unambie unaomba tu hela hata kama unaenda fanya kitu cha kijinga ila sio kudanganya kiivo .
Chai ya wapi,imeniuma sana kunidanganyaMkuu mbona chai ya mapema sana......anyway, pima mazuri yake na mabaya yake unaona mzani unaelemea wapi, ila mi nakushauri muoe huyo binti hayo mengine ni mambo madogo madogo tu ya kurekebisha na atakuwa muoga hawezi kukudanganya tena
Muongo na mdokozi hao ukiwekandani utalia tu sikuUzuri wa mwanamke sio urembo ni tabia!! hapakuwa na sababu yoyote ya kukudanganya, angekuambia tu ana shida na 50K lakini sio kusema uongo...ogopa sana mwanamke mwongo!! kukiweka ndani huyo kuna siku utapigwa tukio hutaamini....
Hata kama jamaa ni bahili, kuna namna mwanamke wako akikulilia shida utamsaidia tu, tatizo ni huyo mwanamke kusema uongo!! aisee mimi nachukia sana kudanganywaTatizo na wewe ni bahili
DahHuyo binti kaamua atumie njia ya uongo ili apate pesa. Maana yake ni kwamba jamaa hampi hela, hakuna maelezo mengine zaidi ya hayo.
Inaonekana akiomba jamaa anapiga kona kona na sababu kibao. Binti akaona bora adanganye ili apate pesa, bado jamaa akaamua kukomaa hadi kupajua kwao na kwenda kumuona mama mkwe bila mualiko bila utambulisho.
Yaani mshikaji kaombwa 50k kaenda kujitambulisha mwenyewe bila washenga, angeombwa milioni sijui ingekuaje.
Halafu uongo sio tabia, ni maamuzi, wanaume hua tunadanganya sana wanawake ili tuwapate, haina maana kwamba ni tabia zetu, ni maamuzi unaamua kutumia njia ya uingo pale unapoona kuna ka kikwazo ukidanganya utafaulu, ukifauku basi na uongo unaishia hapo.
Uongo sio tabia. Uongo ni maamuzi. Kila mtu kwenye maisha amedanganya kwa namna moja ama nyingine.Uzuri wa mwanamke sio urembo ni tabia!! hapakuwa na sababu yoyote ya kukudanganya, angekuambia tu ana shida na 50K lakini sio kusema uongo...ogopa sana mwanamke mwongo!! kukiweka ndani huyo kuna siku utapigwa tukio hutaamini....