Niliyojifunza katika jukwaa la Mahusiano na Mapenzi

Niliyojifunza katika jukwaa la Mahusiano na Mapenzi

Habari wakuu,

Tangu umejiunga JF naamini umesoma mada nyingi zinazohusu mapenzi na mahusiano kutoka kwa wadau mbali mbali hapa JF.

Kuna mambo umejifunza ambayo unatamani kila mtu ayajue

Kwa upande wangu nimejifunza mambo yafuatayo:
  • Wanawake wote ni trouble maker (wanatabia ya kuanzisha ugomvi au matatizo ndio walivyo umbwa)
  • Usiwekeze kwa mwqnamke wekeza kwa watoto wako, mwanamke yeye kawekeza hisia kwako zikiisha anaondoka muda wowote.
  • Wanawake wenye sura nzuri sana na maumbo mazuri asilimia 90% hawqjaolewa
  • Mwanamke mwenye breach kichwani, kimstari cha kuchonga pembeni ya kichwa (way) tattoo asilimia 90% hawajaolewa
  • Single mother wa Dar na mikoani ni mbingu na ardhi.
Yangu ni hayo.

Tuwekee hapa uliyojifunza kutoka JF ambayo unatamani kila mdau ayajue

Ahsante.
1.Ndoa ni adui wa maendeleo ya Mwanaume kutegemea na mwanamke uliemuoa.

2.Litapokuja suala la upendo jiwekezee kwako kwanza pili awe mke.

3.Ukitaka kufa mapema kwenye mapenzi, kuwa NICE GUY.

4.M-Treat mkeo kama mnyama ili ndoa yako iwe na Amani.

5.Usimsamehe mkeo kama amekucheat.

6.Usimuoe mwanamke mwenye history ya kuingiliwa kwa MPALANGE.

7.Tegemea kuachwa muda wowote na mkeo haijalishi mumetoka wapi na ulimfanyia wema gani, akiamua kukuacha huwa haangalii ur background.

8.Hakuna kinacho mridhisha mwanamke kwasababu yeye mwenyew hajui, anachohitaji.

9.KATAAA NDOA ila hakikisha una watoto wakukufariji uzeeni.

[emoji419]10.Tafuta sana pesa kwani ndo kitu pekee kitakachokupa furha pale vtu vyote vtakapo ondoka.

N.B
NI MTAZAMO WANGU, TU.
True Believer[emoji3578]
 
Back
Top Bottom