Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Mpaka Sasa dakika 77"
Kataa Ndoa 3-1 Kubali Ndoa
Kataa Ndoa 3-1 Kubali Ndoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba kuna vitu afanane kama punda au sio.....😹Kigezo cha weupe na urefu kimenisaliti, ila kuna kile kigezo kingine...hujakisema, sidhani kama na-fit🤣🤣🤣🤣
Aaah sio kama punda, awe na nguvu za kukuweka🤣🤣🤣Kwamba kuna vitu afanane kama punda au sio.....😹
Si ndio upunda nao 😹😹😹😹Aaah sio kama punda, awe na nguvu za kukuweka🤣🤣🤣
Hahahaha, kumbeee, wewe sikuwezi!!Si ndio upunda nao 😹😹😹😹
Wanawake wote ni trouble maker (wanatabia ya kuanzisha ugomvi au matatizo ndio walivyo umbwa
We dogo hukujua kama nitakuja kuipitia hii coment yako? Atoto are you the female dog?Na wanaume ni umbwa sio?🤣🤣🤣
Unashangaa nn babe?Aiseeeh🙆♀️🙆♀️🙆♀️
1.Ndoa ni adui wa maendeleo ya Mwanaume kutegemea na mwanamke uliemuoa.Habari wakuu,
Tangu umejiunga JF naamini umesoma mada nyingi zinazohusu mapenzi na mahusiano kutoka kwa wadau mbali mbali hapa JF.
Kuna mambo umejifunza ambayo unatamani kila mtu ayajue
Kwa upande wangu nimejifunza mambo yafuatayo:
Yangu ni hayo.
- Wanawake wote ni trouble maker (wanatabia ya kuanzisha ugomvi au matatizo ndio walivyo umbwa)
- Usiwekeze kwa mwqnamke wekeza kwa watoto wako, mwanamke yeye kawekeza hisia kwako zikiisha anaondoka muda wowote.
- Wanawake wenye sura nzuri sana na maumbo mazuri asilimia 90% hawqjaolewa
- Mwanamke mwenye breach kichwani, kimstari cha kuchonga pembeni ya kichwa (way) tattoo asilimia 90% hawajaolewa
- Single mother wa Dar na mikoani ni mbingu na ardhi.
Tuwekee hapa uliyojifunza kutoka JF ambayo unatamani kila mdau ayajue
Ahsante.