Niliyojifunza kutoka ujenzi wa nyumba yangu ya kwanza

Ujenzi uendelee. Nitajenga na kujenga na kujenga
 
Duh si mchezo hiyo nyumba itakuwa ya million 100 na kuendelea lakini sie wa kutumia million 30 au 40 tuna hamia unakamilisha finishing ukiwa ndani nadra sana kukuta mtu kaweka grill za namna hiyo.
 
Kujenga ni issue, niliacha matanuzi yote nika focus kwenye kujenga. Ndio nimehamia mwezi wa 3 mwishoni. Nyumba ikiwa imeisha
 
Duh si mchezo hiyo nyumba itakuwa ya million 100 na kuendelea lakini sie wa kutumia million 30 au 40 tuna hamia unakamilisha finishing ukiwa ndani nadra sana kukuta mtu kaweka grill za namna hiyo.
Wengine wananyooshwa unaweza kutajiwa gharama za ajabu ukiona kitu chenyewe unashangaa.
 
Msitishe watu,,

Kujenga nyumba ya gharama kubwa ni wewe mwenyewe na mbwembwe zako ,

Nyumba ni vyumba vyenye milango na madirisha ,
Ukiweza kujenga sehemu ya kuweza kujifungia milango na madirisha kwa usalama wa family yako na Mali zako,,
Hiyo ni nyumba tayari.

Hayo mengineyo ni kujitafutia shida za bure.
 
Back
Top Bottom