Niliyojifunza kutoka ujenzi wa nyumba yangu ya kwanza

Dunia tunapita mwenye akili kamwe hajengi njiani

So jengeni susi kazi yetu kula kunywa na Beebe sana
 
Msingi wa nyumba ndio kila kitu au ukipaua ndio ujenzi unaanza ?

Chagua moja.
 

Tiles expensive kuliko kupaua/kuezeka?
 

Ulitumia matofali mangapi?mpaka kwenye linta
 
Huyu mbona kama mimi🤣🤣
 
Ulitumia matofali mangapi?mpaka kwenye linta
Ni kati ya 3000-3500 nyumba nzima ukijumlisha na shimo la choo, sema kwenye shimo la choo tofali walikata sio kuweka nzima so hii inakula tofali nyingi
 
Msingi wa nyumba ndio kila kitu au ukipaua ndio ujenzi unaanza ?

Chagua moja.
1. Msingi ndio kila kitu katika kutengeneza shape ya nyumba, kuanzia muonekano wa nje na structure ya ndani, urefu wa msingi na style ya kutenganisha msingi na boma.


2. Ukimaliza kupaua ndo ujenzi umeanza nikimasnisha vitu vingi vingi in term ya gharama like grill, blundering, plasta, frame na top za milango, rough floor na tiles, wiring, plumbing, alminium window kama unahitaji na gypsum. Hapo ukipiga hesabu ya hivyo vitu utaelewa
nilichosema

so kauli hizo mbili zinajitegemea na huhitaji kuchagua kati ya moja
 
Kwa hiyo msingi, kuta na paa ujenzi unakuwa haujaanza.

Kwa sababu msingi, kuta na paa havina gharama kama finishing, si ndio?
 
Mm mwenyewe nimeanza kujenga mwenz uliopita mdogo mdogo ntafika nakipato changu nikidogo tu. Ila dar chamoto nakiona
 
Duh milango ya chuma mbele na nyuma tu M ngapi? Duh tunaomba utupe picha ya hio milango wakati mi hio milango wa mbele na nyuma ya chuma nilitumia laki 3 yote kweli ujenzi tunatofautiana kutoa ela si mchezo.
Ulinunua wapi hiyo milango ya laki Tatu tunaomba namba please
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…