Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kupaua ni gharama kwa sababu itakuhitaji uwe na mbao na bati kwa wakati mmojaKunakauli inakatisha tamaa, gharama za kupaua/za bati, zinanitoa damu...ila hapa naona kuwa ukipaua ndio unaanza ujenzi...wtf!!!si bora niache
Huyu analeta mambo ya kususa kiwanja chako mwenyeweUnamsusia nani sasa mkuu?
Kwenye makao ya kudumu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee hongera, me nimeandilia nyumba yangu mbinguni kwa sasa sijisumbui
Wenye nyumba tunamuombea azidi kususa[emoji23]Huyu analeta mambo ya kususa kiwanja chako mwenyewe
Bati moja la futi 10 migongo mipana linaanzia 33k hadi 41k kulingana na kampuni. Na migongo midogo kuanzia 27k hadi 39k.Kunakauli inakatisha tamaa, gharama za kupaua/za bati, zinanitoa damu...ila hapa naona kuwa ukipaua ndio unaanza ujenzi...wtf!!!si bora niache
Kwenye makao ya kudumu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Gharama za kupaua zinakua kubwa sababu zinahotajika kwa mara moja, kwa mfano mimi kupaua pekee nimetumia milion 7, hapo ni hela ya fundi bati na mbao. Ila baada ya kupaua, plumbing phase one ime cost 2M, frame za milango mti wa mpili laki tisa, wiring phase one, laki saba, grill 1.5 M, bado mambo yanaendeleaKunakauli inakatisha tamaa, gharama za kupaua/za bati, zinanitoa damu...ila hapa naona kuwa ukipaua ndio unaanza ujenzi...wtf!!!si bora niache
Kunakauli inakatisha tamaa, gharama za kupaua/za bati, zinanitoa damu...ila hapa naona kuwa ukipaua ndio unaanza ujenzi...wtf!!!si bora niache
Gharama za kupaua zinakua kubwa sababu zinahotajika kwa mara moja, kwa mfano mimi kupaua pekee nimetumia milion 7, hapo ni hela ya fundi bati na mbao. Ila baada ya kupaua, plumbing phase one ime cost 2M, frame za milango mti wa mpili laki tisa, wiring phase one, laki saba, grill 1.5 M, bado mambo yanaendelea
Finishing ni gharama sana. Ndio maana amesema hivyo. Hakuna kuteleza kwenye finishing ndio maana boma zenye bati zipo nyingi watu wamezitelekeza [emoji28][emoji28][emoji28]Of which ni less kulingana na cost za kupaua ,why unatuambia ujenzi unaanza baada ya kupaua [emoji56] mimi nikishapaua uko kwingine nateleza tu labda kwenye aluminium ,kwa upande wangu ujenzi nimeanza kuuona wakati wa kupaua
Uzuri wa finishing waweza fanya kwa vipindi vile mfuko unakuruhusu, ila kupaua ni mwanzo mwisho, inabidi kujipanga vyemaFinishing ni gharama sana. Ndio maana amesema hivyo. Hakuna kuteleza kwenye finishing ndio maana boma zenye bati zipo nyingi watu wamezitelekeza [emoji28][emoji28][emoji28]
Ni kweli. Ndio maana hapo unavuta pumzi kwanza na ndio ujenzi unaanza upya tena. Kujenga kweli sio lelemamaUzuri wa finishing waweza fanya kwa vipindi vile mfuko unakuruhusu, ila kupaua ni mwanzo mwisho, inabidi kujipanga vyema
Finishing ni gharama sana. Ndio maana amesema hivyo. Hakuna kuteleza kwenye finishing ndio maana boma zenye bati zipo nyingi watu wamezitelekeza [emoji28][emoji28][emoji28]
Ndio mkuu...kulaua ndio gharama kubwa kuliko any other stage. Ukimaliza kupaua nyumba imeisha hiyo...tia kashata madirishani mengine unafanya ukiwa humo ndaniEven me nimeshangaa ,kupaua kunaeza cost much kuliko kufanya plumbing ,wtf![emoji848]
Finishing uzuri wake ni mbwembwe utakazo wewe. Unaweza weka choo cha laki nne au choo cha million tatu...urefu wa mfuko wako tuuFinishing ni gharama sana. Ndio maana amesema hivyo. Hakuna kuteleza kwenye finishing ndio maana boma zenye bati zipo nyingi watu wamezitelekeza [emoji28][emoji28][emoji28]
Ni kweli. Hata floor mwingine anaweka tiles mwingine sakafu ya kawaida.Finishing uzuri wake ni mbwembwe utakazo wewe. Unaweza weka choo cha laki nne au choo cha million tatu...urefu wa mfuko wako tuu
Am a landlord too...ila sijawahi jenga hata moja...nnazo 5 kama hzo zako [emoji1]Wenye nyumba tunamuombea azidi kususa[emoji23]
Ahsante...duh, ngoja nijifunge mkanda...Gharama za kupaua zinakua kubwa sababu zinahotajika kwa mara moja, kwa mfano mimi kupaua pekee nimetumia milion 7, hapo ni hela ya fundi bati na mbao. Ila baada ya kupaua, plumbing phase one ime cost 2M, frame za milango mti wa mpili laki tisa, wiring phase one, laki saba, grill 1.5 M, bado mambo yanaendelea
Ah, fundi alinambia 45k migongo mipana, ngoja nikaulize dukaniBati moja la futi 10 migongo mipana linaanzia 33k hadi 41k kulingana na kampuni. Na migongo midogo kuanzia 27k hadi 39k.
Kupaua nyumba ya kawaida yenye vyumba 3, secure,dinning, stood na jiko utahitaji si chini ya 4m kwa bati na misumari pekee. Hapo bado fundi
Sure...bt haihitaji hela ya pamoja,Finishing ni gharama sana. Ndio maana amesema hivyo. Hakuna kuteleza kwenye finishing ndio maana boma zenye bati zipo nyingi watu wamezitelekeza [emoji28][emoji28][emoji28]