Niliyoona leo kwenye mfumo wa ajira wa Polisi ni Kituko

Haya mambo mimi nilishaachaga.. sitengenez website mimi
Nazungumzia kwenye kile kinachoelezwa kina changamoto ambapo ni website hio wanasema ya polisi.

Apps zote kuanzia twitter, instagram hadi tiktok ITs wa web services masuala ya API n.k wanahusika, hivi sasa AI imekuwa na demand kubwa karibu App nyingi zina AI.
 
Mimi ni mtu mmoja sipendelei sana kuyakuza mambo. Haya ma AI sijui nini huwa nawauliza vijana kwanin vitu basic tu php hamjui mnakimbilia sijui kwenye matakataka gan sijui.???
Mimi ni very old school.
 
Mimi ni mtu mmoja sipendelei sana kuyakuza mambo. Haya ma AI sijui nini huwa nawauliza vijana kwanin vitu basic tu php hamjui mnakimbilia sijui kwenye matakataka gan sijui.???
Mimi ni very old school.
Ivan Stepanov
Inasikitisha sana. Field nzima ya IT ni hovyo hata huko kwingine.

Kuna producer flani miaka ya nyuma HDD yake ilipata hitilafu na kulikuwa na kazi za watu za muhimu sana, jamaa alitoa tangazo clouds FM kama kuna mkali anaweza restore data zake, aisee hakuna hata IT mmoja aliweza, ile HDD ilipelekwa UK yule producer alitoa kama sijasahau kama dola 4000 nadhani ndipo mzigo ukarejeshwa.
 
Safiii....
Umeeleza vzr sana.
Kuna haja ya hizi Taasisi kuangalia watu wa IT maana Ulimwengu wa Kitekinolojia unaenda Kasi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…