William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Nashaangaa mpaka sasa viongozi simba hawaoni.Nimeandika nyuzi nyingi za kuhusu fadlu na kuja kuua vipaji..
Sasa uwezo wa Chares Auwa, Balua na Kijili unashuka sana. Ata ateba sio alivyokuja
Hadi Mavambo kocha anasema eti jitumi.
Viongozi Simba oneeni huruma fedha za Mooo.
Kama hamuwezi kupata kocha wa kueleweka hao wachezaji mpeni mgunda tu.
Kocha wa kuokota anaumiza sana wachezaji.