Niliyoshuhudia Kariakoo

Niliyoshuhudia Kariakoo

Karikakoo inahitaji kuchunguzwa yale majengo yote.
Tujifunze kupitia ajali hii tusije tukajisahau mbeleni
Muhimu zaidi pasiruhusiwe ujenzi chini ya ghorofa ambalo tayari limejengwa, limekamilika na linatumika.

Hiyo ni hatari na ndiyo chanzo cha maafa ya kariakoo.

Vinginevyo majengo mengine yote kariakoo ni imara na ni salama hasa yaliyojengwa miaka 1950's🐒
 
Lowasa alisemaga haya kipindi akiwa waziri mkuu. Na yakatajwa baadhi ya magorofa. Wanaleta siasa pinda naye alilizungumzia zikaendelea siasa nao ni wakati wa kuvuna kile tulichokipanda
CCM ik8kaa pembeni tutakuwa serious kidogo
 
Back
Top Bottom