🤣🤣🤣🤣Kwenye hizo picha umeona bwana harusi na bibi harusi pole kwa kutofika watu Wali kula na kusaza pia walikunywa na kukimbia pombe.
Wanashangaza sana kwa kweli wanatukana badala ya kujibu hoja.Mtusaidie kutuelewesha sisi tusiochanga na hatuamini kwamba kulikuwa na dhamira ovu.
Wahusuika hii ni shutuma na lazima ijibiwe kwa hoja majibu ya matusi na kebechi haviwezi jenga imani kwa wakati ujao.
Ndiyo.Kwahiyo party ilifeli?!
Ameumbuka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hiyo picha kiufupi kama ume download haraka,harafu hiyo sheree ilikuwa sendofu
🤣🤣🤣🤣🤣Mkuu pole kwa kutofika.Ameumbuka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo wanaumiza kichwa waje na gia gani kujisafisha.Tatizo letu Bongo ni feedback, unaenda kufanya interview unakosa kazi na jamaa hawakupi mrejesho wowote, hata simu hawapokei.
Ndiyo kama hili swala.
Kilichotakiwa, waandaaji wangeandika thread kuelezea nini kilichotokea, hata kama haikufanyika, kwa sababu nina uhakika hatukosi cha kujifunza.
Tuambieni changamoto ilikuwa ni nini, na wapi tungeweza kujirekebisha, bila hata kutupiana lawama.
Vinginevyo mnaendelea kuwapa sababu za kuongea watu kama hawa, wanawachafua mnaonekana matapeli kwa sababu tu hamtaki kutoa feedback. Let's face it, truth be told.
Yes mamy ila siku ile ulijua kutupia dah we ni mzuri mamy [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😜😜🤣🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe hukutaka kuchanga yani hukutaka kuhudhuria unataka feedback ukaifanyie nini hiyo feedback?
Bongo furaha yetu ni kufeli kwa wenzetu.
Ule msemo wa aliyeko juu mngoje chini ndo applicability yake hiyo. Akichelewa kushuka tafuta jinsi ya kumshusha.
Sie wengine tuko Bongo lakini hatuna hayo au ndo Wazungu wa bongo sisi
tufanye party ya wawil mamdogoWanaume wa siku hizi..