Ilifanyika au haikufanyika??? Nakam ilifanyila basi mnahaki ya kumattack jamaa.
Nakam haikufanyika, na hamna sababu ya msingi ...basi niheri kuangana na mtoa mada kwa kuwaokoa wengine.
Who knows????? ...achen kuteteana kisa ni wanawake.
Ukweli usemwe daima, na ijulikane lipi kavu lipi Bichi.
Haina haja ya kunyoosha vidole, badala yake. Huyo X na Y... Watoe ushirikiano ili watengeneze mazingra ya Kuaminiwa .
Ivii mfanyavyo, ni sawa na kuendelea kuaminisha wana JF kua, km wangetoa nikweli wangepigwa !!!
Akili kwanza ....ulimi baadae !!