Niliyoyanena kuhusu watu X na Y yametimi.

Niliyoyanena kuhusu watu X na Y yametimi.

Mie huyu kaka ht huwa siamini km ni me kweli..bas kama ni me kweli huenda hana ht kitu kinachomuweka busy..sijui ana shida gan huyu..mie nikajua ww hance ulichanga umetapeliwa ss ww shda yako nn..hiv wakat kina madame wanachangisha waliahidi kuja na feedback yyt?hb mmenda kuparty unataka upewe feedback ya nn..ili iweje?. na ukiwa km nan?mxiewwww
 
Tia neno mkuu ht kidg
aaaah mkuu kwasababu hii thread imeletwa na huyo jamaa

ngoja nikae kimya tu... maoni yangu kwake huwa yanapokelewa vibaya sana na tulisha sign mkataba wa amani mimi na yeye kwenye thread moja ilifanana na hii mods waliifuta

sasa nikisema niweke neno nitakuwa navunja mkataba wa makubaliano ya amani nisije pelekwa THE HAGUE bureee
 
😂😂😂mwanaume umeongea hatimaye
 
Ilifanyika au haikufanyika??? Nakam ilifanyila basi mnahaki ya kumattack jamaa.

Nakam haikufanyika, na hamna sababu ya msingi ...basi niheri kuangana na mtoa mada kwa kuwaokoa wengine.

Who knows????? ...achen kuteteana kisa ni wanawake.

Ukweli usemwe daima, na ijulikane lipi kavu lipi Bichi.
Haina haja ya kunyoosha vidole, badala yake. Huyo X na Y... Watoe ushirikiano ili watengeneze mazingra ya Kuaminiwa .

Ivii mfanyavyo, ni sawa na kuendelea kuaminisha wana JF kua, km wangetoa nikweli wangepigwa !!!

Akili kwanza ....ulimi baadae !!
 
Back
Top Bottom