Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
Sio ukwakwasi ni ukakasi.
Chuki za kijinga na wivu kivipi?? Thibitisha.
Na niwaonee wivu kwa lipi haswa?
Unawaonea wivu sababu wako juu yako..
Nakuonaga unavyopondaga wasanii,mkuu badilila una vinasaba vya ukatili