Kiarabu unajua mkuu!?Ndiyo nahitaji story yake kidogo nipate mwangaza ni wapi nianze kimtindo. Famasiara niite pisi moja kali ya kijini.
Hallelujah!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiarabu unajua mkuu!?Ndiyo nahitaji story yake kidogo nipate mwangaza ni wapi nianze kimtindo. Famasiara niite pisi moja kali ya kijini.
Hallelujah!!!
Hujajiunga na Matatizo.Bado sijapata jiko Mkuu
Sahihi.Kiarabu unajua mkuu!?
Hapo ndipo pazito sasaKiarabu unajua mkuu!?
Ibada muhimuDamn!! Hapo kwenye tumbaku sijawahi kabisa, ila kwenye 1 na 2 ni ibada.
Hallelujah!!!
Na Wazungu nao wanajua uchawi?😄United States
Huu sio uchawiNa Wazungu nao wanajua uchawi?😄
Bado navuta pumzi kdgoHujajiunga na Matatizo.
Kila la kheriBado navuta pumzi kdgo
Nimeingia YouTube nikaandika ouja board mmh balaaNdiyo nahitaji story yake kidogo nipate mwangaza ni wapi nianze kimtindo. Famasiara niite pisi moja kali ya kijini.
Hallelujah!!!
Hakika kiongozi. Tunaishi once wacha tuishi vizuri.Ibada muhimu
Tena ni wachawi kuliko unavyodhania.Na Wazungu nao wanajua uchawi?😄
Me nataka niite pisi kali ya kijini, iliyomzidi Aaliyah kila kitu.Nimeingia YouTube nikaandika ouja board mmh balaa
🤣🤣KhaMe nataka niite pisi kali ya kijini, iliyomzidi Aaliyah kila kitu.
Hallelujah!!!
Ile board ya Jumanji ni balaa si la dunia hii. Sharti; ukianza tu lazima umalize rounds zote.Kuna movie niliangalia inaitwa Jumanji nayo iko km hiyo anayoelezea mtoa mada.!!
Ni game ambalo la ajabu
Ulishapata demu wa kijini alafu ukaogopa.😄😄 hajarudi mpaka leo?Halafu sio mbali ni mwaka huu tu mwanzoni.
Yule ndugu yangu alinifundisha kusoma qassam maana si unajua Wapemba kwa kusoma dini!?
Akanifundisha kama nne ambazo unawaita wafuatao;
-Aswaarul kabiir.
-Arruuhaniyyah.
-Maimanah.
-Hamamah.
Mie nilisoma ya arruhaaniyyah hawa huwa ni wa kiroho mara nyingi huja kwa kivuli,mpaka wakuzoee ndio huja kwa sura kabisa.
Kusoma kwake unatakiwa usome usiku katika giza ukiwa umewasha mshumaa wa kijani,mwekundu na njano,uwe na kitezo chenye moto uwe na ubani zuhra,jawi/uvumba na Zafarani.
Urefu wa hiyo azma ni kama karatasi moja,unasoma kwa idadi ya namba tasa.1,5,7 ila ukitaka wake haraka soma mara 71.
Mie nikasoma mara 71 halafu nikapitiwa usingizi.
Wakati wa alfajiri ile adhana inaadhiniwa nilishikwa mguu nikavutwa nikaamka.
Katika meza yangu ya vitabu vya dini niliona kivuli kinasoma vitabu vyangu wallahi kwa sauti.
Nilishtuka AISEE.
Sikuisoma tena.
Sasa kipindi nimeenda Morogoro kufuatilia ishu zangu nikawa nimelala nanenane pale mnadani kwa jamaa zangu.
Usiku nimelala ghafla nilishtuka nikaona wadada weupee wawili.
Mmoja kabla kama sista mavazi meupe mengine Meusi.
Sasa kila nikupige kelele wenzangu hawasikii,yule mweusi alivyotaka kuja nikamzuia kwa ishara ya mkono akasimama yule mweupe mbishi kila nikipunga mkono kumzuia anakuja,akalala kifuani kwangu akabusu mikono yangu,akanipapasa mapaja halafu akanitizamaa akasema kwaheri ila nitarudi tena.
Ghafla niliinuka juu nikarudi tena chini kwa nguvu nikapoteza fahamu.
Tunaamka asubuhi tunakuta maji mekundu usawa wa kizingiti cha mlango yana harufu kali ya marashi kama misk/musk halafu kila niliposhikwa na yule kiumbe PEUPEEE kama gypsum AISEE.
Ilichukua kama siku 5 mpaka ile rangi nyeupe kutoka nilivaa kanzu na gloves wiki nzima.
Ile ya rangi imetengenezwa kwa mazumuni hayo so hakuna kunyanyasika katika kutimiza jukumu la kutengenezwa kwakeMishumaa inanyanyasika mno bila hatia.
Leo usiku au asubuhi nakurushia qassam za kusoma.Sahihi.
Nakifahamu vizuri(kusoma&kuandika).
Hallelujah!!!
Hicho chumba kiko "haunted". Ule mzimu bado haujaondoka kwa vile hukuuaga. Tahadhari kabla ya hatari.Lakini mpaka leo chumba changu sikielewi kabisaaa