Niliyoyaona baada ya kuita roho za giza kwa kutumia OUJIA board (don't try this at home)

Niliyoyaona baada ya kuita roho za giza kwa kutumia OUJIA board (don't try this at home)

Halafu sio mbali ni mwaka huu tu mwanzoni.
Yule ndugu yangu alinifundisha kusoma qassam maana si unajua Wapemba kwa kusoma dini!?
Akanifundisha kama nne ambazo unawaita wafuatao;
-Aswaarul kabiir.
-Arruuhaniyyah.
-Maimanah.
-Hamamah.

Mie nilisoma ya arruhaaniyyah hawa huwa ni wa kiroho mara nyingi huja kwa kivuli,mpaka wakuzoee ndio huja kwa sura kabisa.
Kusoma kwake unatakiwa usome usiku katika giza ukiwa umewasha mshumaa wa kijani,mwekundu na njano,uwe na kitezo chenye moto uwe na ubani zuhra,jawi/uvumba na Zafarani.
Urefu wa hiyo azma ni kama karatasi moja,unasoma kwa idadi ya namba tasa.1,5,7 ila ukitaka wake haraka soma mara 71.
Mie nikasoma mara 71 halafu nikapitiwa usingizi.
Wakati wa alfajiri ile adhana inaadhiniwa nilishikwa mguu nikavutwa nikaamka.
Katika meza yangu ya vitabu vya dini niliona kivuli kinasoma vitabu vyangu wallahi kwa sauti.
Nilishtuka AISEE.
Sikuisoma tena.
Sasa kipindi nimeenda Morogoro kufuatilia ishu zangu nikawa nimelala nanenane pale mnadani kwa jamaa zangu.
Usiku nimelala ghafla nilishtuka nikaona wadada weupee wawili.
Mmoja kabla kama sista mavazi meupe mengine Meusi.
Sasa kila nikupige kelele wenzangu hawasikii,yule mweusi alivyotaka kuja nikamzuia kwa ishara ya mkono akasimama yule mweupe mbishi kila nikipunga mkono kumzuia anakuja,akalala kifuani kwangu akabusu mikono yangu,akanipapasa mapaja halafu akanitizamaa akasema kwaheri ila nitarudi tena.
Ghafla niliinuka juu nikarudi tena chini kwa nguvu nikapoteza fahamu.
Tunaamka asubuhi tunakuta maji mekundu usawa wa kizingiti cha mlango yana harufu kali ya marashi kama misk/musk halafu kila niliposhikwa na yule kiumbe PEUPEEE kama gypsum AISEE.
Ilichukua kama siku 5 mpaka ile rangi nyeupe kutoka nilivaa kanzu na gloves wiki nzima.
Ulishapata demu wa kijini alafu ukaogopa.😄😄 hajarudi mpaka leo?
 
Hii Ouja ni hatari mm nilisummon akaja Roho mmoja tukawa tunaongea nikamuuliza una umri gani akaniambia miaka mia nne nikamuuliza naomba nikuulize historia ya miaka hiyo akanipa sharti mmoja akaniambia niende chooni nipake yale maji ya choo mwili mzima ndio atanisimulia nikamuambia hakuna njia nyingine akasema unaona uchafu nikamwambia siwezi akanisonya nikamcomand kwa sauti ya mamlaka ya juu ile sauti kali huku nikimwambia maneno yafuatayo ya kishetani Zay Zay Zay Laa Hassh alitoka baruti huyo kwa maaana hayo maneno yana nguvu alisema unataka kuniunguza wakati mm sio mbaya ni mtu poa akakimbia
 
Back
Top Bottom