Niliyoyaona baada ya kuita roho za giza kwa kutumia OUJIA board (don't try this at home)

Niliyoyaona baada ya kuita roho za giza kwa kutumia OUJIA board (don't try this at home)

Subiri siku na yeye aite mizimu ije ndani ndyo mtajua sasa ๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Huyu ndio anakoelekea kuna siku alikuwa anafanya yoga, nikamfurusha acha alalamike nimemuharibia mission zake.!!
Ana vitu vya ajabu ajabu na kupenda kujaribu, ss hivi mpk movie nimemkataza kuangalia niliona ndio zinazochangia kumuharibu..!!
 
Lamomy hiyo ni demo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
We kaza fuvu akitokeza hapo haukai tena ana urefu wa zaidi ya futi kumi madam.
Hiyo ni demo tu.
Ukimuona nyoka tu wa mita moja unaruka ruka sembuse umuone joka upana wa meza na urefu wa mita tatu na zaidi!?
Acha utani madam๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Mchumba tu huyo.!!
Mi nataka nimuone hata awe na futi 200 siogopi.
 
Linaongea lugha gani
Sijasikia sauti ya kuongea, lakini uwepo wake unaujua baada ya mkono kuzunguka bila idhini yako, yana kama mtu amaushika alafu anauzungusha yeye.

Pia niliona ile pointer inasogea yenyewe bila mimi kuishika, sauti nilizo sikia ni kama mngurumo na upepo kutokea upande wa nyuma yangu
 
Sema kibongo bongo kipaji kitafia njiani atakapoanza kuambiwa atatufe pesa๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Bora kife atasababisha maafa ni mtundu sana.!!
Halafu hapendi mtu amsumbue akianza maujinga yake.!!
Kuna nyoka iliingia ndani ikawa kubwa, ilijificha kwenye mabanda ya kuku alivyoshtukia akafungulia mbwa akazipambanisha halafu yeye kakaa pembeni anatazama mpambano ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Mchumba tu huyo.!!
Mi nataka nimuone hata awe na futi 200 siogopi.
Unaropoka tu dada AISEE๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
Acha utani madam,nyoka tu mfupi kasheshe sembuse dude lote hilo!?
Tujifurahishe na story tu ila sio mchezo.
 
Hawawezi kunigusa.
Kuna visomo vitatu kimoja kinaitwa tahsin suffly na kingine kinaitwa saifir Umar na kingine kinaitwa saifyl ulamaau.
Hivyo ukisoma hata jini kutoka Msumbiji anakukimbia.
Wale walokutoa mkuku ni wa wapi? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Unaropoka tu dada AISEE๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
Acha utani madam,nyoka tu mfupi kasheshe sembuse dude lote hilo!?
Tujifurahishe na story tu ila sio mchezo.
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น wewe umeliona au nawe unajitengenezea picha la kutisha??
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น wewe umeliona au nawe unajitengenezea picha la kutisha??
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Kwa huyo sijamuona ila kwa yule aliyemuita kwa namna alivyoteseka kwa muda wa siku nne akili ina wenge pia kwa shimo alotuonesha ndipo katokea AISEE sio poa.
Jamaa mpaka kaombewa ndio kakaa sawa.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom