Niliyoyaona baada ya kuita roho za giza kwa kutumia OUJIA board (don't try this at home)

Subiri siku na yeye aite mizimu ije ndani ndyo mtajua sasa πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Huyu ndio anakoelekea kuna siku alikuwa anafanya yoga, nikamfurusha acha alalamike nimemuharibia mission zake.!!
Ana vitu vya ajabu ajabu na kupenda kujaribu, ss hivi mpk movie nimemkataza kuangalia niliona ndio zinazochangia kumuharibu..!!
 
😹😹😹 Mchumba tu huyo.!!
Mi nataka nimuone hata awe na futi 200 siogopi.
 
Linaongea lugha gani
Sijasikia sauti ya kuongea, lakini uwepo wake unaujua baada ya mkono kuzunguka bila idhini yako, yana kama mtu amaushika alafu anauzungusha yeye.

Pia niliona ile pointer inasogea yenyewe bila mimi kuishika, sauti nilizo sikia ni kama mngurumo na upepo kutokea upande wa nyuma yangu
 
Sema kibongo bongo kipaji kitafia njiani atakapoanza kuambiwa atatufe pesa😁😁😁
Bora kife atasababisha maafa ni mtundu sana.!!
Halafu hapendi mtu amsumbue akianza maujinga yake.!!
Kuna nyoka iliingia ndani ikawa kubwa, ilijificha kwenye mabanda ya kuku alivyoshtukia akafungulia mbwa akazipambanisha halafu yeye kakaa pembeni anatazama mpambano πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
😹😹😹 Mchumba tu huyo.!!
Mi nataka nimuone hata awe na futi 200 siogopi.
Unaropoka tu dada AISEEπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Acha utani madam,nyoka tu mfupi kasheshe sembuse dude lote hilo!?
Tujifurahishe na story tu ila sio mchezo.
 
Hawawezi kunigusa.
Kuna visomo vitatu kimoja kinaitwa tahsin suffly na kingine kinaitwa saifir Umar na kingine kinaitwa saifyl ulamaau.
Hivyo ukisoma hata jini kutoka Msumbiji anakukimbia.
Wale walokutoa mkuku ni wa wapi? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ile ya rangi imetengenezwa kwa mazumuni hayo so hakuna kunyanyasika katika kutimiza jukumu la kutengenezwa kwake
Kwamba mshumaa unateketea ili uwasiliane na viumbe?
 
Unaropoka tu dada AISEEπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Acha utani madam,nyoka tu mfupi kasheshe sembuse dude lote hilo!?
Tujifurahishe na story tu ila sio mchezo.
😹😹😹😹 wewe umeliona au nawe unajitengenezea picha la kutisha??
 
😹😹😹😹 wewe umeliona au nawe unajitengenezea picha la kutisha??
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kwa huyo sijamuona ila kwa yule aliyemuita kwa namna alivyoteseka kwa muda wa siku nne akili ina wenge pia kwa shimo alotuonesha ndipo katokea AISEE sio poa.
Jamaa mpaka kaombewa ndio kakaa sawa.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…