Niliyoyaona baada ya kuita roho za giza kwa kutumia OUJIA board (don't try this at home)

Wololoyaaye!! Hicho ni kimoda bila ujasiri hapo kingeumana, ulijitahidi sana nafikiri umewaona wengi sana.

Hallelujah!!!
Mkuu, tumeona vitu vya ajabu wewe acha tu!

Kuna siku usiku mama alinifuata chumbani kwangu analia, anasema nimuombee dua kwani kuna mtu kaingia chumbani kwake na kaanza kumvuta ulimi.

Huwezi amini alilala chumbani kwangu. Siku hiyo nilimfanyia dua na siku lala usiku huo nilikaa kwa macho muda mrefu nikimuangalia mama mpaka mida ya saa 9 usiku hivi.

Yaani shangazi yetu kufanya yote kisa ukoo kutuambia mali za mzee wenu zisimamieni wenyewe kwani ninyi ni wakubwa mnao uwezo wa kuzisimamia.

Alikuwa hampendi mama tangu alipoolewa. Akaona kama mama atafaidi kwa mali akaamua kututupia madudu yake kwenye nyumba.
 
Mpigeni kombora na ninyi, unyonge dhambi arifu.

Hallelujah!!!
 
Ubao naupatia wapi nina shida nao na vipi wanaleta hela nina shda ya kumpiku bill
 
Reactions: 511
______________________



#BM
 
Too late ushadanganya mapoyoyo tayari, sio? Lol
kabinti cha darasa la saba ukimwambia atafute square root ya negative 10 hatakushangaa atasema huyu amechanganyikiwa ana delusion maana hakuna square root ya negative wakati watu waliosoma hesabu za complex wanaona inawezekana lkn kale kabinti kanaona haiwezekan
Maisha yana duniani yana siri nyingi na huwezi jua kila kitu ukitaka kufahamu jambo lolote mtu akikuelezea na ukiona anadanganya mwambie akupe fact lkn ukibisha kwa kitu hukijui mtu anakuacha maana anaona hutaki kujua kama umeeleewa mfano wa kale kabinti inatosha subiri jumapili uende kanisani watakuambia
 
Naitaji huo mchezo please πŸ™
 
Mungu ni mwema hakika, nimeamka salama na fiti zaidi ya jana. Nileteeni jini la kike kutoka puerto rico, nilifanye mchepuko wa kudumu.

Hallelujah!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…