Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 6,607
- 14,076
Sawa ndugu yangu, kujifunza ni muhimu kwani dunia ina mengi.Sawa mkuu sina smart tv ntajaribu kwa simu niichek napenda sana kujifunza vitu vilivyojificha kama hivi ila tu iwe kwa nia njema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa ndugu yangu, kujifunza ni muhimu kwani dunia ina mengi.Sawa mkuu sina smart tv ntajaribu kwa simu niichek napenda sana kujifunza vitu vilivyojificha kama hivi ila tu iwe kwa nia njema.
Kweli ndugu yangu wanatumia simu sikutanii.Acha utani kaka😂😂😂😂😂😂😂😂😂.
Kumbe hadi simu wanapiga!?
Aah kudadeki.
Hata mimi ningeyeya aisee! We dubwana linaminywele ina buruza na futi zaidi ya 20 nasubiri nini hapo tehtehteh??Shauri yako!
Mimi namsaidia ndugu yangu Kosugi kujibu.
Huwa wanatumia mpaka simu (unaweza kudhani ni masihara fulani ila wanatumia). Isipokuwa namba zao hazina mpangilio kama wa kwetu (code zake).
Kuna mwamba alimwambia hivyo hivyo kuwa nataka kukuona! Kaamka usiku ghafla mkojo umembana kufika nje ya mlango wa chumba chake anamuona mtu kasimama kampa mgongo na ana nywele ndefuuu zinaburuzika mpaka chini. Halafu nywele nyeusiii. Jamaa alikimbia!
Aaaaaagh kaka mbona noma hiyo🤭😂😂😂😂😂😂😂😂😂.Haya bhana ndugu yangu! Ila kuwa nao makini.
Familia yetu ilianza kukumbwa na hiyo mikasa kwa kuwa dada wa baba alitokea kutompenda mama tangu wamefunga ndoa.
Mzee alipofariki mali ziliachwa nyingi. Ukoo ukasema kwa vile ninyi ni wakubwa endelezeni mali za mzee wenu. Aisee! Kumbe Shangazi alichukia kwa sababu hampendi mama. Hapo kisanga kilianza😂😂😂😂😂
Na kipindi hicho nakaribia kumaliza Chuo kaka zangu walikuwa tayari wameshamaliza.
Kwenye familia yetu peke yangu nimefuata silsila ya mababu zetu kwenye dini: Babu zangu ni sunni madh-heb ya Shafii ila ni ahlu ttwariqa. Na eneo walilokuwa wakiishi tangu karne ya 10 huko inafahimika hivyo!
Binafsi nimefuata mtiririko huo huo! Aisee si unajua watu wa twariqa wana adhkari nyingi sana! Halafu shangazi alituma majini ndani ya nyumba..
Picha linaanza nimelala nimesoma dua kwa ghafla usiku naona kama kuna joto lipo usoni mwangu. Kufungua macho si nikaona kiumbe cheusiii halafu kina macho meupe kinaniangalia kimenisogelea usoni. Halafu ghafla kikarudi nyuma kikapotea.
Kumbe ndugu zangu mchezo walikuwa bado hawajauelewa. Wakahisi nimechanganyikiwa na dini maana muda mwingi nikaanza kuwa nadhikiri. Na ukifika wakati wa kulala nilikuwa silali. Nilikuwa navuta sana nyiradi na kumswalia mtume.
Kwa sababu nisipofanya hivyo nilikuwa silali kwa sababu nilikuwa naona mambo ya ajabu; mara viumbe wembamba sana wamenizunguka wameniweka kati paji lao la uso linaonekana macho tu!
Ilikuwa ukifika chumbani kwangu usiku utanikuta nimekaa kwenye mswala nimejifunika na shuka mwili mzima nimeacha uso tu! Wakajua kama nimedata.
Ila kuna siku usiku walimuona ndani mnyama halafu kwa ghafla alipotea ndipo wakaanza kunielewa😂😂😂😂
We acha kabisa! Jamaa alikimbia!Hata mimi ningeyeya aisee! We dubwana linaminywele ina buruza na futi zaidi ya 20 nasubiri nini hapo tehtehteh??
Hallelujah!!!
Sasa ndio naanza kuamini kuwa kumbe hata wazungu ni washirikina piaSawa mkuu, pia huu mchezo ni maarufu sana huko West
Kuna kisomo hiko Sheikh ungepiga ni wiki tu wangepotea.We acha kabisa! Jamaa alikimbia!
-----------------------------
Sisi tulitupiwa majini ndani ya nyumba na shangazi kisa tu hampendi mama.
Niliyeanza kuona mauza uza ndaninya nyumba nilikuwa mimi sijui kwa sababu nilikuwa ninaye swali ni peke yangu?!
Nilikuwa naona mauza uza we acha tu! Wakajua kama nimedata hivi! Kipindi hicho nimemaliza Chuo.
Usiku kwangu ulikuwa ni kama vita. Nilianza kuogopa kulala usiku.
Ndani ya nyumba kwenye uzio kulikuwa na mti fulani hivi. Nilikuwa napenda kukaa na kusimama kwenye huo mti. Nilikuwa nasoma nyiradi (ukumbusho wa kumkumbuka Mungu) sana na kudhikiri (kumtaja Mungu) sana kwenye huo mti. Mpaka taarifa zikawafikia ndugu wengine kwamba Hammaz sasa anaanza kufanya mambo ya ajabu.
Siku niliyomuona huyo mtu mrefu anafika mpaka mawinguni mwili wangu ulishikwa na ganzi wote. Nilikuwa muoga muda wote. Sheikh wangu alinisaidia alikuwa nami bega kwa bega kunisomea dua! Na akanifundisha na dua nyengine.
Assume kabla ya kulala unasoma dua takribani dakika 30+...muda mwengine zinafika dakika 40. Mwenendo ulikuwa huo siku zote. Ilikuwa 2017 hiyo!
Ila baadaye mziki ulipoanza kuwaanza wao ndiyo walijua mimi nilianza kuona mapema.
Ni mambo gani unaweza kumuuliza na akakujibu bila shida au ni chochote unachomuuliza anajibu tu?Hawa ni wale ambao wapo karibu yako au ndani kwako, kumbuka hawa viumbe wanaishi pamoja na binadamu japo hatuwaoni
Sasa hivi ndiyo imesafishika!Aaaaaagh kaka mbona noma hiyo🤭😂😂😂😂😂😂😂😂😂.
Aiseee hivi nyumba ilisafishika!?
Pole sana mkuu. Hizi mambo sipendi kabisa kuhadithia nakumbuka kipindi nipo shule(O-level) huko kaskazini asee! Kuna chalii aliona kiumbe mrefu sana usiku, chalii alirudi kwa speed dom huku akihema vibaya sana.We acha kabisa! Jamaa alikimbia!
-----------------------------
Sisi tulitupiwa majini ndani ya nyumba na shangazi kisa tu hampendi mama.
Niliyeanza kuona mauza uza ndaninya nyumba nilikuwa mimi sijui kwa sababu nilikuwa ninaye swali ni peke yangu?!
Nilikuwa naona mauza uza we acha tu! Wakajua kama nimedata hivi! Kipindi hicho nimemaliza Chuo.
Usiku kwangu ulikuwa ni kama vita. Nilianza kuogopa kulala usiku.
Ndani ya nyumba kwenye uzio kulikuwa na mti fulani hivi. Nilikuwa napenda kukaa na kusimama kwenye huo mti. Nilikuwa nasoma nyiradi (ukumbusho wa kumkumbuka Mungu) sana na kudhikiri (kumtaja Mungu) sana kwenye huo mti. Mpaka taarifa zikawafikia ndugu wengine kwamba Hammaz sasa anaanza kufanya mambo ya ajabu.
Siku niliyomuona huyo mtu mrefu anafika mpaka mawinguni mwili wangu ulishikwa na ganzi wote. Nilikuwa muoga muda wote. Sheikh wangu alinisaidia alikuwa nami bega kwa bega kunisomea dua! Na akanifundisha na dua nyengine.
Assume kabla ya kulala unasoma dua takribani dakika 30+...muda mwengine zinafika dakika 40. Mwenendo ulikuwa huo siku zote. Ilikuwa 2017 hiyo!
Ila baadaye mziki ulipoanza kuwaanza wao ndiyo walijua mimi nilianza kuona mapema.
Ngoja nikichukue hiki ndugu yangu.Kuna kisomo hiko Sheikh ungepiga ni wiki tu wangepotea.
Ingekua unapiga tahsin ×7,sayfil ulamaau×7,Suratul raadi ×3,Yasini 7.
Muda wa wiki mkuu wasingebaki hao.
Ubaya ubwela kiongozi katika imani.Ngoja nikichukue hiki ndugu yangu.
Hawa viumbe kama shangazi yangu ananifuatilia.
Kuna kipindi nilitaka kufanya kisomo akigusa afe! Lakini nawaonea huruma watoto wake ni ndugu zetu.
Tahsin ni dua nzuri sana kaka nadhani unaijua kama huijui nitairusha PM mkuu.Ngoja nikichukue hiki ndugu yangu.
Hawa viumbe kama shangazi yangu ananifuatilia.
Kuna kipindi nilitaka kufanya kisomo akigusa afe! Lakini nawaonea huruma watoto wake ni ndugu zetu.
Ndugu yangu haya mambo yana ogofya sana! Ila na vilevile ndiyo unaiona nguvu ya Mungu wazi wazi. Unapiga maombi/dua mpaka wanashindwa wenyewe.Pole sana mkuu. Hizi mambo sipendi kabisa kuhadithia nakumbuka kipindi nipo shule(O-level) huko kaskazini asee! Kuna chalii aliona kiumbe mrefu sana usiku, chalii alirudi kwa speed dom huku akihema vibaya sana.
Baada ya kuhadithia alichokiona kuna wabishi walitoka nje kwenda kutizama maana walimbeza kimtindo, walichokiona huko walidata(bahati yangu nilihanya kwenda kucheki nilipiga sala zangu nikashushia na kiroba nikadoz fresh usiku).
Hallelujah!!!
Nirushie PM ndugu yangu.Tahsin ni dua nzuri sana kaka nadhani unaijua kama huijui nitairusha PM mkuu.
Wololoyaaye!! Hicho ni kimoda bila ujasiri hapo kingeumana, ulijitahidi sana nafikiri umewaona wengi sana.Ndugu yangu haya mambo yana ogofya sana! Ila na vilevile ndiyo unaiona nguvu ya Mungu wazi wazi. Unapiga maombi/dua mpaka wanashindwa wenyewe.
Nilikiona kiumbe kisura ni binadamu ila kivuli chake kinatoa kinafuka moshi. Nilipiga maombi/dua mpaka alikimbia mwenyewe.