Niliyoyaona baada ya kuita roho za giza kwa kutumia OUJIA board (don't try this at home)

Sawa mkuu sina smart tv ntajaribu kwa simu niichek napenda sana kujifunza vitu vilivyojificha kama hivi ila tu iwe kwa nia njema.
Sawa ndugu yangu, kujifunza ni muhimu kwani dunia ina mengi.
 
Acha utani kaka😂😂😂😂😂😂😂😂😂.
Kumbe hadi simu wanapiga!?
Aah kudadeki.
Kweli ndugu yangu wanatumia simu sikutanii.

Na mkawa mnazungumza kama kawaida na kupiga stori. Ila kabla ya kufikia huko labda muwe marafiki.

Kuna watu wana urafiki na hao viumbe majini.
 
Shauri yako!

Mimi namsaidia ndugu yangu Kosugi kujibu.

Huwa wanatumia mpaka simu (unaweza kudhani ni masihara fulani ila wanatumia). Isipokuwa namba zao hazina mpangilio kama wa kwetu (code zake).

Kuna mwamba alimwambia hivyo hivyo kuwa nataka kukuona! Kaamka usiku ghafla mkojo umembana kufika nje ya mlango wa chumba chake anamuona mtu kasimama kampa mgongo na ana nywele ndefuuu zinaburuzika mpaka chini. Halafu nywele nyeusiii. Jamaa alikimbia!
Hata mimi ningeyeya aisee! We dubwana linaminywele ina buruza na futi zaidi ya 20 nasubiri nini hapo tehtehteh??

Hallelujah!!!
 
Haya bhana ndugu yangu! Ila kuwa nao makini.

Familia yetu ilianza kukumbwa na hiyo mikasa kwa kuwa dada wa baba alitokea kutompenda mama tangu wamefunga ndoa.

Mzee alipofariki mali ziliachwa nyingi. Ukoo ukasema kwa vile ninyi ni wakubwa endelezeni mali za mzee wenu. Aisee! Kumbe Shangazi alichukia kwa sababu hampendi mama. Hapo kisanga kilianza😂😂😂😂😂

Na kipindi hicho nakaribia kumaliza Chuo kaka zangu walikuwa tayari wameshamaliza.

Kwenye familia yetu peke yangu nimefuata silsila ya mababu zetu kwenye dini: Babu zangu ni sunni madh-heb ya Shafii ila ni ahlu ttwariqa. Na eneo walilokuwa wakiishi tangu karne ya 10 huko inafahimika hivyo!

Binafsi nimefuata mtiririko huo huo! Aisee si unajua watu wa twariqa wana adhkari nyingi sana! Halafu shangazi alituma majini ndani ya nyumba..

Picha linaanza nimelala nimesoma dua kwa ghafla usiku naona kama kuna joto lipo usoni mwangu. Kufungua macho si nikaona kiumbe cheusiii halafu kina macho meupe kinaniangalia kimenisogelea usoni. Halafu ghafla kikarudi nyuma kikapotea.

Kumbe ndugu zangu mchezo walikuwa bado hawajauelewa. Wakahisi nimechanganyikiwa na dini maana muda mwingi nikaanza kuwa nadhikiri. Na ukifika wakati wa kulala nilikuwa silali. Nilikuwa navuta sana nyiradi na kumswalia mtume.

Kwa sababu nisipofanya hivyo nilikuwa silali kwa sababu nilikuwa naona mambo ya ajabu; mara viumbe wembamba sana wamenizunguka wameniweka kati paji lao la uso linaonekana macho tu!

Ilikuwa ukifika chumbani kwangu usiku utanikuta nimekaa kwenye mswala nimejifunika na shuka mwili mzima nimeacha uso tu! Wakajua kama nimedata.

Ila kuna siku usiku walimuona ndani mnyama halafu kwa ghafla alipotea ndipo wakaanza kunielewa😂😂😂😂
Aaaaaagh kaka mbona noma hiyo🤭😂😂😂😂😂😂😂😂😂.
Aiseee hivi nyumba ilisafishika!?
 
Hata mimi ningeyeya aisee! We dubwana linaminywele ina buruza na futi zaidi ya 20 nasubiri nini hapo tehtehteh??

Hallelujah!!!
We acha kabisa! Jamaa alikimbia!
-----------------------------
Sisi tulitupiwa majini ndani ya nyumba na shangazi kisa tu hampendi mama.

Niliyeanza kuona mauza uza ndaninya nyumba nilikuwa mimi sijui kwa sababu nilikuwa ninaye swali ni peke yangu?!

Nilikuwa naona mauza uza we acha tu! Wakajua kama nimedata hivi! Kipindi hicho nimemaliza Chuo.

Usiku kwangu ulikuwa ni kama vita. Nilianza kuogopa kulala usiku.

Ndani ya nyumba kwenye uzio kulikuwa na mti fulani hivi. Nilikuwa napenda kukaa na kusimama kwenye huo mti. Nilikuwa nasoma nyiradi (ukumbusho wa kumkumbuka Mungu) sana na kudhikiri (kumtaja Mungu) sana kwenye huo mti. Mpaka taarifa zikawafikia ndugu wengine kwamba Hammaz sasa anaanza kufanya mambo ya ajabu.

Siku niliyomuona huyo mtu mrefu anafika mpaka mawinguni mwili wangu ulishikwa na ganzi wote. Nilikuwa muoga muda wote. Sheikh wangu alinisaidia alikuwa nami bega kwa bega kunisomea dua! Na akanifundisha na dua nyengine.

Assume kabla ya kulala unasoma dua takribani dakika 30+...muda mwengine zinafika dakika 40. Mwenendo ulikuwa huo siku zote. Ilikuwa 2017 hiyo!

Ila baadaye mziki ulipoanza kuwaanza wao ndiyo walijua mimi nilianza kuona mapema.
 
Kuna kisomo hiko Sheikh ungepiga ni wiki tu wangepotea.
Ingekua unapiga tahsin ×7,sayfil ulamaau×7,Suratul raadi ×3,Yasini 7.
Muda wa wiki mkuu wasingebaki hao.
 
Hawa ni wale ambao wapo karibu yako au ndani kwako, kumbuka hawa viumbe wanaishi pamoja na binadamu japo hatuwaoni
Ni mambo gani unaweza kumuuliza na akakujibu bila shida au ni chochote unachomuuliza anajibu tu?
 
Aaaaaagh kaka mbona noma hiyo🤭😂😂😂😂😂😂😂😂😂.
Aiseee hivi nyumba ilisafishika!?
Sasa hivi ndiyo imesafishika!

Ndugu yangu nilikuwa nadhikiri mpaka mama yangu alikuwa ananishangaa!

Ndugu zangu wengine waliona kama nimeshapotea.

Sasa kuna siku nipo na brother sebuleni usiku.kuangalia TV kama saa 4 hivi kuelekea saa 5. Usingizi ukanipitia kwenye kochi.

Kwa ghafla brother naye usingizi ukampitia. Chakula chake alikiweka pembeni naye akapitiwa kwenye kochi kwa kuangalia TV. Ghafla si akapiga kelele?! Nasikia mamaaaaaa!

Kushituka mama naye huyo katoka chumbani kwake kaja mbio! Anauliza nini?

Kumbe bhana alivyolala chakula chake kwenye sahani kipo vululu vululu! Aliona watu wengi wametokea kwa ghafla sebuleni wanamlisha chakula chake alichokiacha kwenye sahani hovyo hovyo! Anajaribu kuniita mimi sauti haimtoki!

Mwishoni tunasikia mamaaaaaa!
 
We acha kabisa! Jamaa alikimbia!
-----------------------------
Sisi tulitupiwa majini ndani ya nyumba na shangazi kisa tu hampendi mama.

Niliyeanza kuona mauza uza ndaninya nyumba nilikuwa mimi sijui kwa sababu nilikuwa ninaye swali ni peke yangu?!

Nilikuwa naona mauza uza we acha tu! Wakajua kama nimedata hivi! Kipindi hicho nimemaliza Chuo.

Usiku kwangu ulikuwa ni kama vita. Nilianza kuogopa kulala usiku.

Ndani ya nyumba kwenye uzio kulikuwa na mti fulani hivi. Nilikuwa napenda kukaa na kusimama kwenye huo mti. Nilikuwa nasoma nyiradi (ukumbusho wa kumkumbuka Mungu) sana na kudhikiri (kumtaja Mungu) sana kwenye huo mti. Mpaka taarifa zikawafikia ndugu wengine kwamba Hammaz sasa anaanza kufanya mambo ya ajabu.

Siku niliyomuona huyo mtu mrefu anafika mpaka mawinguni mwili wangu ulishikwa na ganzi wote. Nilikuwa muoga muda wote. Sheikh wangu alinisaidia alikuwa nami bega kwa bega kunisomea dua! Na akanifundisha na dua nyengine.

Assume kabla ya kulala unasoma dua takribani dakika 30+...muda mwengine zinafika dakika 40. Mwenendo ulikuwa huo siku zote. Ilikuwa 2017 hiyo!

Ila baadaye mziki ulipoanza kuwaanza wao ndiyo walijua mimi nilianza kuona mapema.
Pole sana mkuu. Hizi mambo sipendi kabisa kuhadithia nakumbuka kipindi nipo shule(O-level) huko kaskazini asee! Kuna chalii aliona kiumbe mrefu sana usiku, chalii alirudi kwa speed dom huku akihema vibaya sana.
Baada ya kuhadithia alichokiona kuna wabishi walitoka nje kwenda kutizama maana walimbeza kimtindo, walichokiona huko walidata(bahati yangu nilihanya kwenda kucheki nilipiga sala zangu nikashushia na kiroba nikadoz fresh usiku).

Hallelujah!!!
 
Kuna kisomo hiko Sheikh ungepiga ni wiki tu wangepotea.
Ingekua unapiga tahsin ×7,sayfil ulamaau×7,Suratul raadi ×3,Yasini 7.
Muda wa wiki mkuu wasingebaki hao.
Ngoja nikichukue hiki ndugu yangu.

Hawa viumbe kama shangazi yangu ananifuatilia.

Kuna kipindi nilitaka kufanya kisomo akigusa afe! Lakini nawaonea huruma watoto wake ni ndugu zetu.
 
Ubaya ubwela kiongozi katika imani.

Hallelujah!!!
 
Ngoja nikichukue hiki ndugu yangu.

Hawa viumbe kama shangazi yangu ananifuatilia.

Kuna kipindi nilitaka kufanya kisomo akigusa afe! Lakini nawaonea huruma watoto wake ni ndugu zetu.
Tahsin ni dua nzuri sana kaka nadhani unaijua kama huijui nitairusha PM mkuu.
 
Pole sana mkuu. Hizi mambo sipendi kabisa kuhadithia nakumbuka kipindi nipo shule(O-level) huko kaskazini asee! Kuna chalii aliona kiumbe mrefu sana usiku, chalii alirudi kwa speed dom huku akihema vibaya sana.
Baada ya kuhadithia alichokiona kuna wabishi walitoka nje kwenda kutizama maana walimbeza kimtindo, walichokiona huko walidata(bahati yangu nilihanya kwenda kucheki nilipiga sala zangu nikashushia na kiroba nikadoz fresh usiku).

Hallelujah!!!
Ndugu yangu haya mambo yana ogofya sana! Ila na vilevile ndiyo unaiona nguvu ya Mungu wazi wazi. Unapiga maombi/dua mpaka wanashindwa wenyewe.

Nilikiona kiumbe kisura ni binadamu ila kivuli chake kinatoa kinafuka moshi. Nilipiga maombi/dua mpaka alikimbia mwenyewe.
 
Wololoyaaye!! Hicho ni kimoda bila ujasiri hapo kingeumana, ulijitahidi sana nafikiri umewaona wengi sana.

Hallelujah!!!
 
Back
Top Bottom