Niliyoyaona baada ya kuita roho za giza kwa kutumia OUJIA board (don't try this at home)


= Ouija.
 
Katika mambo ya kijinga vijana wengi mnafanya mojawapo ni hili ambalo kijana wa kijinga kabisa kuwepo duniani umeandika.

1. Umetoa pesa kununua bidhaa ambayo ulitegemea kabisa itakupa nini, alafu hata kabla ya utafiti wako unaleta majibu ya robo ya utafiti, what a loof is!

2. Ungejua huwezi kujaribu na kupata majibu, usingetoa pesa yako kununua hicho kidude.

Na jambo lingine baya ni kuwa yule ndg yako J wa 34yrs umemuua, sababu ilitakiwa muagane ili aondoke ila wewe umemkaba na kabaki hewani hana pa kwenda.

Yaani vijana wa Gen A wa tz bladfkn kabisa 😐!.
 
jambo lingine baya ni kuwa yule ndg yako J wa 34yrs umemuua, sababu ilitakiwa muagane ili aondoke ila wewe umemkaba na kabaki hewani hana pa kwenda.

Yaani vijana wa Gen A wa tz bladfkn kabisa 😐!.
Nilipata hofu sana mkuu, niliamua nimuache auende kwani nilihisi yupo na ananipuliza kwa upepo mkali
 
Mkuu nakuja PM unipe maelezo.
Nataka kujaribu na napenda kinyama kucheza na hivyo viumbe🤭🤭🤭.
 
wee jifanye mtafiti tu professor kidevu!!!,,,ipo siku litakukuta jambo!!
 
Kosa kubwa!
Kwanza kwa kucheza mchezo huu hatari kabisa na pili.
Kwa kutokusema Goodbye kwa ile roho ya kuzimu uliyokuwa unazungumza nayo! Ulifanya kosa kutupa Uija Board bila kuaga huyo mgeni kwa hiyo haendi anabaki na wewe mpaka uje utumie njia za kumdhibiti huyo roho na anaweza kuita wenzake wengi tu wakakutesa sana. Maadamau unajua jina lake na jinsi alivyokuja basi itakuwa rahisi kumtoa.
Hiyo roho kama unavyosema unajisikia kwamba kuna mauzauza hapo chumbani ni kweli na hata kama ukihama hapo bado utakuwa na shida kwani hiyo roho haipo hapo chumbani, ipo ndani yako, katika mwili wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…