Niliyoyaona baada ya kuita roho za giza kwa kutumia OUJIA board (don't try this at home)

Niliyoyaona baada ya kuita roho za giza kwa kutumia OUJIA board (don't try this at home)

Aaaagh wee unaweza kufa ama kujikojolea.
😂😂😂😂Is not that simple maana kwanza wengi wao wakija huja na macho ya kijani sanaa ama blue sanaa,pia urefu wa futi 7 sio chini ya hapo.
Japo wanakuja wanavutia wowowo hilo😂😂😂😂😂.
Ila macho na urefu noop is such a fvcking disaster.
Weka story kidogo kuhusu hayo mambo mkuu, napenda kujua kitu kimtindo.

Hallelujah!!!
 
Back
Top Bottom