Niliyoyaona baada ya kuita roho za giza kwa kutumia OUJIA board (don't try this at home)

Niliyoyaona baada ya kuita roho za giza kwa kutumia OUJIA board (don't try this at home)

Hapo kipengele sijui wanaweza kuhitaji nini ?🤔🤔🤔
Mkuu ukiwaita ndyo utawauliza wanataka nini, lakini mara nyingi roho chafu ndyo rahisi kuzipata kwasababu pia wanapenda michezo hiyo.

Ni ngumu kupata roho safi maana hawawezi kukubali kuingia au kuitwa na mtu ambaye hana nia nzuri au nia ya maana
 
Dah!! Kwahiyo roho chafu ndio nyingi??
Km mi mlokole siwezi kupata malaika? 😹😹😹
 
Ngojea nikuletee mfano wa picha anavyokua.
Huyu ni jini wa kiarabu ni tajiri wa red mercury.
Anatokea chini ya ardhi,kumuita eidha umuite porini,uwanja wa wazi,baharini ama mtoni.
Ila ukimuita chumbani umevunja nyumba.
Teh teh teh hilo radi sasa 😹😹😹
Nyumba zenyewe mafundi walipunja cement si balaa zito hilo.?!!
 
Back
Top Bottom