Niliyoyaona baada ya kumiliki gari ya Mzungu

Sometimes huwa naishi kibishi Sana huwa sio mwoga Kwenye kununua kitu kama nakipenda,kama sio magufuli kutangaza watu waache kuvaa masks najua ningekuwa namiliki Subaru forester 2009 au kluger maana pesa tulitengeza Sana kupitia barakoa.
Ila MUNGU yupo na IPO siku tutamiliki Vyuma vya kijerumani
 
Mmiliki wa zamani wa vw Touran hapa,kaa nayo hata mwaka hivi ndio uje kupost tena hapa chief. Mimi ilinipa msiba mkubwa sana japo gari ilikua kali sana ,sunroof,8 airbags nk Ila dashboard ilikua inawaka taa kama mti wa Christmas.
Ulishawahi jiuliza umekosea wapi?
 
Mmiliki wa zamani wa vw Touran hapa,kaa nayo hata mwaka hivi ndio uje kupost tena hapa chief. Mimi ilinipa msiba mkubwa sana japo gari ilikua kali sana ,sunroof,8 airbags nk Ila dashboard ilikua inawaka taa kama mti wa Christmas.
Hahahahaaah Mti wa Christmas !!!
 
Mkuu hapo kwenye mkeka wa njombe, unazungzia ule wa kutoka makambako hadi njombe au????
 
Mmiliki wa zamani wa vw Touran hapa,kaa nayo hata mwaka hivi ndio uje kupost tena hapa chief. Mimi ilinipa msiba mkubwa sana japo gari ilikua kali sana ,sunroof,8 airbags nk Ila dashboard ilikua inawaka taa kama mti wa Christmas.

nimecheka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], eti mti wa christmass
 
Hahahahah tatizo sio spare ila tatizo ni mafundi ni wengi mpaka wa chini ya miembe wanazielewa Toyota kirahisi na vipuri viko universal.

Huwezi kupaki Toyota ati kisa hamna spares!

hahaha mfano nlikuwaga na premior ile new model mshikaji aliniazima nikaenda bunju kufika sehemu nlofika nikaizima najaribu kuwasha wakati nasepa ngoma haiwaki wakati battery iko poa , akatokea tu jamaa wa mtaa akasema hiyo itakuwa mtoto wa stata, wakati unaignite me nitakuwa napiga piga kweli mwanangu nimeignite kule anapiga piga ngoma ikawaka nikatembea...
 
Mmiliki wa zamani wa vw Touran hapa,kaa nayo hata mwaka hivi ndio uje kupost tena hapa chief. Mimi ilinipa msiba mkubwa sana japo gari ilikua kali sana ,sunroof,8 airbags nk Ila dashboard ilikua inawaka taa kama mti wa Christmas.
Nimekuwa na comment inayoendana na hii.. Nafikiri mwezi mmoja ni mfupi sana.
Kama gari ameipata ikiwa na hali nzuri, na kama matumizi yake siyo ya kuitesa gari, aipe atleast mwaka ndo atupe mrejesho.
 
MkUu unaloongelea Ni kweli kwa 100%
Nmeendesha Volvo xC90 MkUu asikwambie Mtuu na ukianz kutumia Hizo Gari hutokuja kuwaz Wala kutak Gari kutok Japan

Changamoto Ni kwamba Inabd nibadl Gearbox yake (Transimision) naomb msaada wa Hilo chimbo Kama nawez pata msaada wa HiYo spare.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sasa umeona yani, matatizo ya Toyota ni very easy kuyaspot sababu watu wengi wana familiarity nazo yani. Kitu kikizingua ni rahisi yani fundi analijua tatizo kabla hata hajafungua fungua.

Accessibility pia ni very simple, vitu vyote viko open.Usiombe kurekebisha kitu kidogo kwenye gari ya kitasha.Utafungua fungua mavitu kibao ndio ufikie hicho unachotaka kutoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…