Niliyoyaona baada ya kumiliki gari ya Mzungu

Mmiliki wa zamani wa vw Touran hapa,kaa nayo hata mwaka hivi ndio uje kupost tena hapa chief. Mimi ilinipa msiba mkubwa sana japo gari ilikua kali sana ,sunroof,8 airbags nk Ila dashboard ilikua inawaka taa kama mti wa Christmas.
Hhhh pole ilikuwa inahitaji service
 
Hahahahah mkuu bora umeongea uhalisia 🤣🤣🤣 jamaa anaongea ikiwa gari haijapigwa hata na Masika moja toka aitoe bandarini.

mti wa christmass una mataa mengi basi hata dashboard ya gari yangu ilikua inawaka hivyo ikionyesha faults kibao 😀 😀 😀 😀 😀
Hii hapa inaenda mwaka wa tatu taa inayowaka ni hio kwasababu ya bulb ya nyuma sina muda wa kubadili(nimeiacha makusudi nikiwapa lift akina Extrovert wapate cha kusema).
Touran yako ni engine gani ilikuwa 1.4Tsi? DSG mbona zipo kwenye Mk5 GTi na vijana wanazikamua sana hapa mjini?
Kama alivyosema Bavaria kuna mahali ulikosea kukubali tu kuweka engine ya Toyota imeonesha wazi kuna mahali umekosea.
 
View attachment 1673711
Nakubali ww ni Mtabe wa hizo VW
 
Dah engine ya Carina Ti sidhani kama ina nguvu za kutosha.
 
Nakubali ww ni Mtabe wa hizo VW
Hio unaiona ilikuja na 65,000km imepiga trip mikoani za kutosha,inatumika foleni za Dar daily si chini ya 50km,naishi kitaa kuna madimbwi ya kutosha na bado iko kama ilivyokuja.
Sio kama haiharibiki, vifaa vinachoka nabadili maisha yanaendelea, kama Toyota tu sio kwamba haziharibiki ila vifaa feki vingi ndio maana watu hawaziogopi.
 
Haiwezekani, utaweka modifications kibao za ajabu ili engine na gearbox zikae. Haiwezi kuwa gari ile ile. Engine na gearbox za hizo gari zipo kibao hapa hapa Dar watu hawana taarifa tu
Itakuwa ni lack of knowledge tu na informations
 
Hii hapa inaenda mwaka wa tatu taa inayowaka ni hio kwasababu ya bulb ya nyuma sina muda wa kubadili(nimeiacha makusudi nikiwapa lift akina Extrovert wapate cha kusema).
Touran yako ni engine gani ilikuwa 1.4Tsi? DSG mbona zipo kwenye Mk5 GTi na vijana wanazikamua sana hapa mjini?
Kama alivyosema Bavaria kuna mahali ulikosea kukubali tu kuweka engine ya Toyota imeonesha wazi kuna mahali umekosea.
View attachment 1673711
ilikua 1.4 tsi,siku nimetoka kuichukua dar naelekea mbeya kufika kitonga tu taa ya check engine ikawaka. Msiba wangu ulianzia hapo.
 
Mmiliki wa zamani wa vw Touran hapa,kaa nayo hata mwaka hivi ndio uje kupost tena hapa chief. Mimi ilinipa msiba mkubwa sana japo gari ilikua kali sana ,sunroof,8 airbags nk Ila dashboard ilikua inawaka taa kama mti wa Christmas.
[emoji23][emoji2]
 
B
Hio unaiona ilikuja na 65,000km imepiga trip mikoani za kutosha,inatumika foleni za Dar daily si chini ya 50km,naishi kitaa kuna madimbwi ya kutosha na bado iko kama ilivyokuja.
Sio kama haiharibiki, vifaa vinachoka nabadili maisha yanaendelea, kama Toyota tu sio kwamba haziharibiki ila vifaa feki vingi ndio maana watu hawaziogopi.
Yah, gari ni maintanance tu, ukimudu service kwa wakati hakunaga gari mbovu. Shida yetu hela ya kuunga unga gari za mzungu zinataka hela ya chap chap na sio ndogo ndogo.
 
Dah kweli mzee ila Engine ilikuwa ile ya 1.8L au ile 1.5L
Tatizo ni ku-fit hio engine na gearbox.
1.kuna engine na gerabox mounts lazima ziwekwe
2.drive shaft zikatwe/zibadilishwe ili zikae
3.radiator na hoses zake
4.steering rack(ya Touran ni electric)
Haiwezi kukaa sawa
 
Mmiliki wa zamani wa vw Touran hapa,kaa nayo hata mwaka hivi ndio uje kupost tena hapa chief. Mimi ilinipa msiba mkubwa sana japo gari ilikua kali sana ,sunroof,8 airbags nk Ila dashboard ilikua inawaka taa kama mti wa Christmas.
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Tatizo ni ku-fit hio engine na gearbox.
1.kuna engine na gerabox mounts lazima ziwekwe
2.drive shaft zikatwe/zibadilishwe ili zikae
3.radiator na hoses zake
4.steering rack(ya Touran ni electric)
Haiwezi kukaa sawa
Da kwel noma
 
Back
Top Bottom