Niliyoyaona baada ya kumiliki gari ya Mzungu

Shamba darasa πŸ˜€
Hahahaha wa kuskia ataskia ila kenge atasubiri kutoka damu za masikio na kufanywa shamba darasa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Raha ye mjerumani ni pale ikihitaji specialist wa mfumo esp. umeme! Au ikifa a very complicated sensor.
 
Nilidhani unazungumzia magari yetu ya "nyumbu" made in Tanzania. Hebu kuwa mzalendo, miliki kitu Nyumbu 0km
 

true true
 
Ulishawahi jiuliza umekosea wapi?
sikukosea popote chief,dsg transmission za kwanza kutoka vw/audi group zilikua ni msiba(03/07) kama sikosei. gari yangu ilipata msiba wa gearbox kwanza kabla ya misiba mingine ya electronics kibao. Sehemu gani hapo dar ningepeleka gari yangu ikafanyiwe matengenezo ya gearbox?
 
Hongera sana mkuu kwa REVIEW uliyoitoa....

Ila kiuhalisia naona ni mapema sana kutoa REVIEW kali namna hii..

Ungekaa angalau mwaka hivi, ukutane na mvua za vuli na masika...upate kasafari angalau ka km 60 za rough raod yenye madimbwi kiasi..

Miezi miwili mkuu haitoshi kutoa recommendations kuwa gari halisumbui...

Nina Nissan mwaka wa 6 na nusu sasa haijanisumbua chochote kwenye injini wala transmission...ni yale mambo ya kawaida tu, kama bushes, brake pads,ball joints na shock absorbers za mbele...hivi vinaisha mapema kwa sababu ya hizi bara bara zetu...
Hapa angalau ninaweza nikasema neno lolote kuhusu hii NISSAN...ila kwa wewe subiri angalau one year or so.....

Tuombe uzima tukutane Tena January 2022.. reviews zikiwa hizo hizo, angalau unaweza kusema gari halina shida..
 
Mkuu hivi una Nissan gani?
 
msiba wa hizi gari usikie kwa mwenzio tu.
 
niliweka engine ya carina Ti kwenye body ya vw touran lakini gari haikua kama zamani,mwisho wa siku nikauza kwa bei ya kutupa tu.
Inakaa fresh haizingui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…