Walau Mkude huwa ndiye anayejitahidi kuficha madhaifu ya wale wazee wenu pale nyuma.Kwani mmetufunga kisa mkude?
Sasa mbona hata Wananchi nao walikosa nafasi za kutosha tu za magoli! Huo ndiyo mpira mheshimiwa. Mwisho wa mechi, Manara fc 0 na Yanga 1!!!Hope kipindi cha pili ulikiona kwa uzuri 2 clear goals simba walokosa
Achana na kosa kosa ya boko, kagere na miq
Timu ya kawaida iliyofika robo fainali, iliyowafunga finalist wote wa CAF mwaka huu....Siku zote timu bora ndiyo inayoshinda. Simba mnapenda kujikweza, lakini kiufupi mna timu ya kawaida sana! Na inakabika kwa urahisi mpaka basi.
Kwa kikosi cha Yanga, nawahakikishia hata mcheze nao mara 100, bado mta struggle tu kupata matokeo!
Lini hiyo alificha madhaifu, nadhani huna hoja.Walau Mkude huwa ndiye anayejitahidi kuficha madhaifu ya wale wazee wenu pale nyuma.
Hata Wananchi walichukua huo ubingwa kwa mara tatu mfululizo! Na ndiyo timu iliyochukua Ubingwa wa Ligi kuu mara nyingi zaidi kuliko timu yoyote ile!Timu ya kawaida iliyofika robo fainali, iliyowafunga finalist wote wa CAF mwaka huu....
Timu ya kawaida ambayo inaenda kuchukua ubingwa mara ya nne mfululizo.
Yes kipindi wanachukua walikuwa bora sio sasa...Hata Wananchi walichukua huo ubingwa kwa mara tatu mfululizo! Na ndiyo timu iliyochukua Ubingwa wa Ligi kuu mara nyingi zaidi kuliko timu yoyote ile!
Hivyo hakuna jipya. Ni kawaida tu katika mpira! Mngechukua huo ubingwa mara nyingi na kwa mfululizo kama Juventus au Bayern Munich, tungekunywa maji kweli?
Hivi kipindi cha kwanza possession ilikuwa ngapi kwa ngapi na cha pili pia uweke takwimu hapaWewe endelea kujifariji na mpira wako huo kila siku..ila mpaka unazeeka utakuwa unaoga kichapo ndegelec[emoji1787][emoji1787]
Unasema Yanga hakutengeneza nafasi kweli unaumwa wewe au unaongea kishabiki...dk za mwanzoni kabisa nusura iwe 3 bila afu unasema hakuna nafasi!...
NaamHatufungwi mara mbili. Makombe yote tunazoa.[emoji23][emoji23]
Afu ukaisoma takataka kwa kuwa wewe ni takataka au sio[emoji23][emoji23]Umeandika takataka
Ulipaswa uchambue kama nilivyofanya ujenge hoja zako ila kwa kuwa ni kichwa kitupu umekuja kunishambulia mimi binafsi.Simba naona wana makocha wengi sana sasa sijui wachezaji watamsikiliza yupi. Mpira ni magoli na Simba tayari kafungwa, hayo ya kusema goli limetokana na mpira wa defletion ni kukosa hoja...
Ila kweli wewe ni mpumbavu sasa mbona iyo simba unayosema ilikuwa bora na ilocheza bora mbona haikupata ata goli moja tu la kusawazisha acha ujinga siku nyingine usirudie kuwa unaongea upupu wa aina hii wewwViungo walikuwepo , Morison , Miq,Bwallya na Lwanga ,kucreate chances kulikuwepo kama kawaida tu na hata hivyo sio kisingizio maana hata Kagere na Mugalu came muda umekwenda sana....
Sijadharau goli la Yanga ninachopinga ni hii nyimbo ya kwamba they won because walicheza vizuri kila idara. Umezungumzia ukabaji wa Yanga kuzuia mipira ya simba ila hujazungumza kabisa ni clear chances ngapi Yanga walitengeneza za kufunga magoli ili kuthibitisha kwamba Simba walikuwa weak kwenye defence?Mkuu umetiririka vizuri. Ila kudharau goli la yanga Kwasababu ni deflection imefuta yote uliyoandika hapa juu. Hebu tuambie dakika 30 za mwanzo Mpira ulikuwaje na matokeo ya yanga yalipatikana dakika ya ngapi...
Wenzetu wana apply ulozi na nasikia mzee yule kawahi Kigoma [emoji23] ila najiuliza Je, watatumia hadi lini makandokando hayo ambayo hayana nguvu sana kwa ulimwengu wa sasa!? Hawa kimataifa watatia aibu sana,tunza maneno hayaMkuu me nakuunga mkono na miguu kabisa kwa hoja yako, Simba kama team ipo vzr mno, tatizo kwa Simba lipo katika kupanga mikakati kabambe ya derby, kwa Yanga mechi ya Derby inachezwa nje na ndani, Simba ni tofauti sana. Na ndy maana hata Yanga waliingilia mlango ambao haukuwa rasmi, wakiamini mambo ya ulozi.
Jibu kakaa nalo kweli au kakusogezea [emoji23]Mkuu ubora wako wa hao wachezaji wa Yanga unawapimaje? Au unawapima kw mechi ya Simba na Yanga tu?
- Mwanafunzi kipimo cha ubora wake ni kupata matokeo mazuri ya mtihani wa mwisho...
Naam ,nafasi zilikuwa nyingi tu yanga walikuwa wana mianya kadhaa ambayo ni ukosefu wa umakini tu wa wachezaji wa Simba kufunga kuna nafasi hata wenyewe Yanga naamini walikuwa tu wanajiuliza Boko kakosaje kuamua kitu sahihi kwa clear chance aliyoipata?Nafatilia Point zako mkuu.. Uko sahihi
Kujilinda kwa Yanga bado hakukuzuia Simba Kupata Nafasi.. Washambuliaji wa Simba hawakua Makini tu.
Na kama nafasi zile za wazi Simba angefunga .. Yanga wangelaumiwa kupaki Bus kipindi kizima.
Swali kuntu hili heheheMbona Yanga hayupo Manara na Hamna lolote huko Afrika
Au Yanga hawataki kuwa Big team Africa??
Swali hilo nakurudishia wewe mwenyeweIla kweli wewe ni mpumbavu sasa mbona iyo simba unayosema ilikuwa bora na ilocheza bora mbona haikupata ata goli moja tu la kusawazisha acha ujinga siku nyingine usirudie kuwa unaongea upupu wa aina hii weww
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app