Niliyoyaona kwa Mkapa (Lupaso) Stadium leo ambayo kama yasipofanyiwa Kazi basi yanaenda Kujirudia tena Lake Tanganyika 25 July, 2021 ni haya

Niliyoyaona kwa Mkapa (Lupaso) Stadium leo ambayo kama yasipofanyiwa Kazi basi yanaenda Kujirudia tena Lake Tanganyika 25 July, 2021 ni haya

Hope kipindi cha pili ulikiona kwa uzuri 2 clear goals simba walokosa
Achana na kosa kosa ya boko, kagere na miq
Sasa mbona hata Wananchi nao walikosa nafasi za kutosha tu za magoli! Huo ndiyo mpira mheshimiwa. Mwisho wa mechi, Manara fc 0 na Yanga 1!!!

Na historia itasomeka hivyo.
 
Siku zote timu bora ndiyo inayoshinda. Simba mnapenda kujikweza, lakini kiufupi mna timu ya kawaida sana! Na inakabika kwa urahisi mpaka basi.

Kwa kikosi cha Yanga, nawahakikishia hata mcheze nao mara 100, bado mta struggle tu kupata matokeo!
Timu ya kawaida iliyofika robo fainali, iliyowafunga finalist wote wa CAF mwaka huu....
Timu ya kawaida ambayo inaenda kuchukua ubingwa mara ya nne mfululizo.
 
Timu ya kawaida iliyofika robo fainali, iliyowafunga finalist wote wa CAF mwaka huu....
Timu ya kawaida ambayo inaenda kuchukua ubingwa mara ya nne mfululizo.
Hata Wananchi walichukua huo ubingwa kwa mara tatu mfululizo! Na ndiyo timu iliyochukua Ubingwa wa Ligi kuu mara nyingi zaidi kuliko timu yoyote ile!

Hivyo hakuna jipya. Ni kawaida tu katika mpira! Mngechukua huo ubingwa mara nyingi na kwa mfululizo kama Juventus au Bayern Munich, tungekunywa maji kweli?
 
Hata Wananchi walichukua huo ubingwa kwa mara tatu mfululizo! Na ndiyo timu iliyochukua Ubingwa wa Ligi kuu mara nyingi zaidi kuliko timu yoyote ile!

Hivyo hakuna jipya. Ni kawaida tu katika mpira! Mngechukua huo ubingwa mara nyingi na kwa mfululizo kama Juventus au Bayern Munich, tungekunywa maji kweli?
Yes kipindi wanachukua walikuwa bora sio sasa...
 
2: naweza ipinga;
Kunawachezaji tumewaona wanapokea taarifa za msiba na wanakiwasha vzuri tu na baada ya mechi msiba unaendelea.
 
Badala ya kuingiza winga au kiungo ambaye angeleta ubunifu na Kasi zaidi kama Dilunga hivi nikashangaa anamuingiza Mugalu
 
Wewe endelea kujifariji na mpira wako huo kila siku..ila mpaka unazeeka utakuwa unaoga kichapo ndegelec[emoji1787][emoji1787]

Unasema Yanga hakutengeneza nafasi kweli unaumwa wewe au unaongea kishabiki...dk za mwanzoni kabisa nusura iwe 3 bila afu unasema hakuna nafasi!...
Hivi kipindi cha kwanza possession ilikuwa ngapi kwa ngapi na cha pili pia uweke takwimu hapa
 
Simba naona wana makocha wengi sana sasa sijui wachezaji watamsikiliza yupi. Mpira ni magoli na Simba tayari kafungwa, hayo ya kusema goli limetokana na mpira wa defletion ni kukosa hoja...
Ulipaswa uchambue kama nilivyofanya ujenge hoja zako ila kwa kuwa ni kichwa kitupu umekuja kunishambulia mimi binafsi.

Nakukumbusha wewe chambua hapa ulichokiona ,tunashindana kwa hoja kama huna hoja kaa kimya maana wengine hata football hamkucheza ila mnasumbua mno
 
Viungo walikuwepo , Morison , Miq,Bwallya na Lwanga ,kucreate chances kulikuwepo kama kawaida tu na hata hivyo sio kisingizio maana hata Kagere na Mugalu came muda umekwenda sana....
Ila kweli wewe ni mpumbavu sasa mbona iyo simba unayosema ilikuwa bora na ilocheza bora mbona haikupata ata goli moja tu la kusawazisha acha ujinga siku nyingine usirudie kuwa unaongea upupu wa aina hii weww

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu umetiririka vizuri. Ila kudharau goli la yanga Kwasababu ni deflection imefuta yote uliyoandika hapa juu. Hebu tuambie dakika 30 za mwanzo Mpira ulikuwaje na matokeo ya yanga yalipatikana dakika ya ngapi...
Sijadharau goli la Yanga ninachopinga ni hii nyimbo ya kwamba they won because walicheza vizuri kila idara. Umezungumzia ukabaji wa Yanga kuzuia mipira ya simba ila hujazungumza kabisa ni clear chances ngapi Yanga walitengeneza za kufunga magoli ili kuthibitisha kwamba Simba walikuwa weak kwenye defence?

Upande wa Simba walicreate clear chances takribani 3 na ujue clear chances sio shooting chance eg Morison alifunga bao la Mbali mno mechi ile na Mbeya City lakini ile haiitwi clear chance ,so inawezekana kabisa ukafunga ila hukuwa na clear chances na kipimo cha timu nzuri ni katika kutengeneza nafasi za wazi kuscore kama Yanga walitengeneza hizo hata 10 basi Simba walikuwa dhaifu kwenye backline.Magoli ya kudeflect hutokea mara chache sana kwenye football na yakitokea huhesabika kama kawaida ila ndiyo hivyolikitokea leo huenda likatokea miaka kadhaa mbele na sio kwamba tuseme ubora ambao haukuonekana wazi

Mengine tupo pamoja nimefafanua hilo nililolisema mwanzo tu
 
Mkuu me nakuunga mkono na miguu kabisa kwa hoja yako, Simba kama team ipo vzr mno, tatizo kwa Simba lipo katika kupanga mikakati kabambe ya derby, kwa Yanga mechi ya Derby inachezwa nje na ndani, Simba ni tofauti sana. Na ndy maana hata Yanga waliingilia mlango ambao haukuwa rasmi, wakiamini mambo ya ulozi.
Wenzetu wana apply ulozi na nasikia mzee yule kawahi Kigoma [emoji23] ila najiuliza Je, watatumia hadi lini makandokando hayo ambayo hayana nguvu sana kwa ulimwengu wa sasa!? Hawa kimataifa watatia aibu sana,tunza maneno haya
 
Mkuu ubora wako wa hao wachezaji wa Yanga unawapimaje? Au unawapima kw mechi ya Simba na Yanga tu?
- Mwanafunzi kipimo cha ubora wake ni kupata matokeo mazuri ya mtihani wa mwisho...
Jibu kakaa nalo kweli au kakusogezea [emoji23]
 
Nafatilia Point zako mkuu.. Uko sahihi

Kujilinda kwa Yanga bado hakukuzuia Simba Kupata Nafasi.. Washambuliaji wa Simba hawakua Makini tu.

Na kama nafasi zile za wazi Simba angefunga .. Yanga wangelaumiwa kupaki Bus kipindi kizima.
Naam ,nafasi zilikuwa nyingi tu yanga walikuwa wana mianya kadhaa ambayo ni ukosefu wa umakini tu wa wachezaji wa Simba kufunga kuna nafasi hata wenyewe Yanga naamini walikuwa tu wanajiuliza Boko kakosaje kuamua kitu sahihi kwa clear chance aliyoipata?

Ndiyo maana hata kocha Nabi alikuwa anatetemeka kwenye benchi maana aliona timu yake ishaelemewa sana na Simba angepindua matokeo ungekuja kusikia ohh Simba ilikuwa bora kuliko Yanga kwa kila kitu (wachambuzi wa kibongo ni shida tupu )
 
Ila kweli wewe ni mpumbavu sasa mbona iyo simba unayosema ilikuwa bora na ilocheza bora mbona haikupata ata goli moja tu la kusawazisha acha ujinga siku nyingine usirudie kuwa unaongea upupu wa aina hii weww

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Swali hilo nakurudishia wewe mwenyewe

Ikiwa Simba ilikuwa dhaifu mbona hamkupata magoli mengi zaidi?
 
Back
Top Bottom