Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Stori hii nimewahi kusikia
Umeliona nyumbani kwa Mkinga?
Umeliona nyumbani kwa Mkinga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣Kumbe jeiefu ina video call 🙆🙆
Nifundishe kuiweka my😂😂
Aahahaha hamtaki kuaminiNdio maana kasema maajabu
Mtu kachimba kaburi darini
Mkuu wasije wakakuroga tena ukapata shida saa zima 😂😂😂Aahahaha hamtaki kuamini
Mkuu nimetoka job hapa mambo ni hataree wakuuMkuu wasije wakakuroga tena ukapata shida saa zima 😂😂😂
Waache washinde mkuu
Kuna lipi jipya tenaaMkuu nimetoka job hapa mambo ni hataree wakuu
Mambo yale yale mkuu...Kuna lipi jipya tenaa
Mambo yale yale mkuu...
Mungu anatusaidia sana
Hapana hapana mkuu..Vifuvu au?
Hii kali ya mwakaAahahaha hamtaki kuamini
Hivi mlifanya tambiko baada ya kuhamisha zile skeleton au mliacha tu?Mafundi tunapitia mengi mkuu...
Mi kipindi flani nachimba shimo la choo tulikuta skeleton za watu kabisa kama saba hivi...
Nikawaambia waache kwanza nikaenda kuongea na mwenyewe tukafanya mpango wa kuamisha tuu ila ilikua ni hatari..
Yapo mengi tunapitia kwa wahindi kule ndo usiseme mkuu
Nilirudi hom mkuuHivi mlifanya tambiko baada ya kuhamisha zile skeleton au mliacha tu?