Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,496
- 1,800
Mkuu unaweza kutuambia mbunge hata mmoja ambaye ameshinda lakini hakutangazwa. Hii Mahakani tutaenda, Kwa upande wangu huku Jimbo la Hai tunacopy karibu zote za matokeo lakini hazina makosa hata kidogo.Acha kumtia hofu kijana. Kiukweli binafsi nilitaka Magu ashinde Urais ili akamilishe miradi ya Sgr, stiglers gorge na ikulu ya chamwino lakini siyo kwa staili ya wizi wa kura mpaka za wabunge uliofanyika. Wezi wa kura woote malipo yenu ni hapa hapa duniani hakuna hata haja ya kwenda mahakamani. Mungu wetu wa Abrahamu na Isaka atajibu maombi yetu kabla hata ya miaka 5 kuisha wote walishiriki kuiba kura watakuwa wameshaadhibiwa hata kama ni afisa elimu. Machozi yetu hasa kwenye kura za wabunge hayatamwagika bure. Rais muacheni
Kwa hiyo walifanya kwa kuchagua majimbo?