Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Trump anaelekea kushindwa ila bado anafight kwa kutumia sheria zinachomruhusu kufanya kwa matumaini kuwa matokeo ya baadhi ya majimbo yanaweza kubadilika yakaenda upande wake iwe ni kwa kuhesabu kura upya au kuyafuta kama kulikuwepo ukiukwaji mkubwa wa taratibu. Lakini haielekei kama ataweza kufanikiwa.Mzee vipi hivi huko kwa Trump kweli mambo yameendaje? Mimi kabisa niko ulimwengu wa nne
Sawa observers bado tunaendelea na tathiminiUchaguzi umeishaa!"
Uchaguzi umeishaa!"
Uchaguzi umeishaa! "
Sawa observers bado tunaendelea na tathiminiUchaguzi umeisha wewe hujasikia? Leo ukitueleza upuuzi wako huu unadhani sisi ni UN? Nenda Mahakamani
Analijua vizuri hilo.Rais fake, Mwenye Hati ya U-Rais fake! Rais hewa, hakustahili kuwa hapo alipo na anajua moyoni kinachoendelea nchini kuwa hapendeki, pamoja na ndege zake. alishika watu wenye vyeti feki wakati na yeye ni fake vilevile!!
Dhambi ileile ina mtafuna mara dufu, angekuwa mpole tu wagawane gawane hayo Madaraka mambo yaishe, atazuzuliwa sana na wajao! kuliko alivowashushua watangulizi wake,,, kwake yeye itakuwa maradufu ndiyo sheria ya Historia.
Wanafiki hawaishagi Duniani mwenzenu anaugulia Udikteta na utapeli alioufanya nyie mna shangilia akienda ICC, mtaufyata km alivo fanyiwa Al Bashir! hutapanua domo kumtetea km .
Aisee kumbe NI YEYE alimtandika zahataree. Naanza kuelewa ni wapi umetoka huu upole wa ghaflaKituo nilichopigia kura hapa kibaha Lissu alikuwa na 278 Magu 43 matokeo yalobandikwa Lissu 8 magu 377
Akili hiyo hana, anaongozwa na jazba, hapo ndio amefanya vizuri sana atafunwe vizuri mulemule ndani ya CCM. Unabii ulisha sema carne nyingi sana ''Maadui wa mtu ni wale wa nyumbani mwake'' kwa akili zake finyu anaona amekomesha, Mazuzu yana shangilia.Analijua vizuri hilo.
Ndio maana kahakikisha kuwa bunge ni lake lote ili liondoe ukomo wa urais awe wa kudumu ili asijeshushuliwa kama alivyoshushua
Mahakama ipi?Nenda mahakamani ww n mnafiki mkubwa ,,kama ulishuhudia na una ushahidi kwann usiende mahakamani ?sasa hapa Jamii forum ndo kuna mahakama ?
Umeona sasaNenda mahakamani ww n mnafiki mkubwa ,,kama ulishuhudia na una ushahidi kwann usiende mahakamani ?sasa hapa Jamii forum ndo kuna mahakama ?
Yes, 'ni ID ya JF-Expert Member'. Una swali jingine? 😂😂😂😂Unajua maana ya UmkhontoweSizwe?
Sasa unatuambia ili iweje, kama uliona si sawa ungepinga huko sio kuja huku. Halafu nani atakuamini bila uthibitisho maana unaweza kuwa umetumwa tuNimekuwa msaidizi katika moja ya kituo cha kupigia kura katika moja ya wilaya mkoani Mara.
Niliyoyaona ki ukweli yanatisha juu wizi wa kura. Kituo nilichosimamia kilikuwa mwambao wa ziwa Victoria, Tundu Antipas Lissu aliongoza kura katika kituo changu kwa kuapata kura 79 na Magufuli kura 31 lakini matokeo yaliyotangazwa Magufuli 37O, Tundu Antipas Lissu kura 6 hii ilitoka na msimamizi msaidizi ngazi ya wilaya kutaka tutoe matokeo yake.
Hapakuwa na uchaguzi ilikuwa ni ujinga tu.
Too pathetic, your mastery of this language is pedestrian. Instead of entertaining silly jokes, better learn from the gurus.Exactly; the reflection of what is said about you! By the way, it is oral, not mouth!
Ushahidi kwenye nchi ya dikteta?Unao ushahidi?
Tukikutaka utoe ushirikiano upo tayari?
Mpuuzi, Unaogopa Kufa??Nipo tayari, ila kiukweli msiniue tu.
Kuna watu hamjui kusoma nyakati! Anguko la Magufuli kupitia uchaguzi huu liko wazi sana! Mungu amemfunua wazi kabisa uwovu wake, hila na dhuruma! Sasa unataka Afanye nini tena cha ziada?
Ujinga, woga, umaskini (fikra, Mawazo) ndo kitanzi chetu, sasa walio tuongoza ktk mapambano wanaikimbia nchi!
Na ukitaka tusubiri Mungu ashuke kwa style yako bila jitihada za Watanzania kuiponya nchi, tutajikuta level ya Zimbabwe ama mbali zaidi!
Munalialia wakati mukiambiwa semeni ukweli munakimbia, pembeni munasema kamanda komaa!Nimekuwa msaidizi katika moja ya kituo cha kupigia kura katika moja ya wilaya mkoani Mara.
Niliyoyaona ki ukweli yanatisha juu wizi wa kura. Kituo nilichosimamia kilikuwa mwambao wa ziwa Victoria, Tundu Antipas Lissu aliongoza kura katika kituo changu kwa kuapata kura 79 na Magufuli kura 31 lakini matokeo yaliyotangazwa Magufuli 37O, Tundu Antipas Lissu kura 6 hii ilitoka na msimamizi msaidizi ngazi ya wilaya kutaka tutoe matokeo yake.
Hapakuwa na uchaguzi ilikuwa ni ujinga tu.