Uchaguzi 2020 Niliyoyaona kwenye Uchaguzi huu yanatisha

Mkuu unaweza kutuambia mbunge hata mmoja ambaye ameshinda lakini hakutangazwa. Hii Mahakani tutaenda, Kwa upande wangu huku Jimbo la Hai tunacopy karibu zote za matokeo lakini hazina makosa hata kidogo.

Kwa hiyo walifanya kwa kuchagua majimbo?
 
Kwa wizi huo hiyo dhambi mtaitubu wapi,au Mungu mnadhani anachukulia poa? Hata mkiungama haisameheki labda muungame kwa mliotuibia
 
Huo sio upuuzi, jaribu na jifunze kuheshimu hoja za watu wengine hata kama huwapendi, mataga na ccm mmeiba, kila kona wanasema.
Ati wanasema, wao wa nani?? Kwani siye ni mabubu mbona hatusemi??Nenda mahakamani au ICCC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…