Niliyoyaona nilipokua Kipofu.

usirudie kuwajaribu vipofu wa nyama za macho tena HEADING yako hailandani.
 
Ndio ndio magu... shikilia hapo hapo.... wapo wanaopevuka ubongo .. wapo wanaopevuka macho.... na wapo wanaopofuka...

Mwisho wa siku woote tunakaa sawa
 
Namona sinta namuona necha,namuona pdiddy analilia penzi la Jennifer.
 
Taswira ndani ya mboni naona mziki wa kizazi kipya ukielekea mamtoni,wasanii kumiliki magari nyumba za kulala hatuzioni,mdosi ananiambia toka nigonge copy mia hajauza hata 10.
 
Taswira ndani ya mboni naona mziki wa kizazi kipya ukielekea mamtoni,wasanii kumiliki magari nyumba za kulala hatuzioni,mdosi ananiambia toka nigonge copy mia hajauza hata 10.
Muziki unakua kwa kasi sana
 
Mie nilijua kipof wa macho kumbe wa fikra kwa heri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…