Niliyoyashuhudia Derby ya wanawake Simba queen na Yanga Princess

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
11,915
Reaction score
28,284
Yanga imeimarika sana na huenda miaka michache ijayo kama hawataharibu hii team basi wakachukua hili kombe la wanawake mara 5 mfululizo.

Usajili wa dirisha dogo umefanywa na mtu makini sana na kuifunga JKt kwenye Samia cup na Sasa kuifunga Simba kwenye derby ni kipimo tosha

Forward za yanga Kila mtu alitaka afunge hasa asha Omar na yule mnywarwanda kama wangepeana pasi basi ushindi ungekuwa mkubwa zaidi

Huenda msimu JKt akachukua kombe endapo atapambana kuifunga Simba huku sisi kwenye mechi yetu na JKt tukiwapa Simba sharti jepesi kabisa "watushangilie tuifunge JKt au wakae kimya JKt watufunge"kifupi turufu ya ubingwa iko kwetu.

Enzi za Simba kwenye soka la wanawake huenda na la wanaume ni kama zinaondoka na Sasa anashindwa rasmi kupambana na yanga ndani ya uwanja na kugeukia zaidi nje ya uwanja kwa kutafuta "visababu"
 
Exactly 💯 mkuu Yanga princess Leo wameupiga mwingi mno

Hivi wote tumeangalia mpira huo huo au tumeona mechi mbili tofauti? Simba Queens ilitawala mchezo kwa dakika zote 90. Kipindi cha kwanza tu ingeweza kuwa juu kwa goli 2 au zaidi. Kipindi cha pili ndiyo kabisa, Queens ilipoteza nafasi nyingi sana.

Shida ya Queens ipo kwenye ubinafsi wa wachezaji wanapoenda kufunga au labda ndiyo mafundisho ya mwalimu wao. Kila mtu alikuwa anataka afunge yeye tena kibaya zaidi kwa mashuti ya nje ya 18. Nilishangaa kutomuona Mwalimu akiwaambia wabadili mbinu kwa kusogea walau ndani ya box kwanza baada ya kuona huo mpango hauzai matunda badala yake wamecheza hivyo kwa dakika zote 90.

Simba Queens ikiachana na Corazone ambaye amekuwa mzito mno, miguu imelegea na anacheza kimaza sana halafu ikapata striker wa maana, tayari Yanga haiwezi kushindana na Queens hiyo kwenye mbio za ubingwa. Hata yule Precious naye toka amekuja Queens sijamuona akicheza kwa kujituma, waachane naye. Najua ipo hofu ya kuwaacha wachezaji wakongwe maana upande wa pili watawabeba wooote ila ujasiri ule ule uliotumika kwa senior team inabidi utumike kwa Queens.

Yanga inacheza kwa kukamia ikicheza na Queens ila ni timu ya kawaida saana na kwenye mbio za ubingwa bado ina safari ndefu.
 
Kwa dunia ya sasa mpira sio kutawala ni kufunga tu magoli
 
Hata milifungwa 5 Simba ndo alitawala mchezo
 
Kwa dunia ya sasa mpira sio kutawala ni kufunga tu magoli
Sawa. Pamoja na kupata matokeo katika mechi ya jana, ila timu mnayotaka kutuaminisha mnayo, hamna. Kuna vitimu vingi tu vya kawaida vitaendelea kuwasumbua katika ligi hata kama mtapata matokeo kwa Simba Queens kwa kuikamia mechi.

Kumbuka toka ligi imeanza, Simba Queens jana ndiyo ilipoteza mechi yake ya kwanza.
 
Mkuu mbona unajieleza sana kubali matokeo tu 😄😃😃😃
 
Hivi wote tumeangalia mpira huo huo au tumeona mechi mbili tofauti? Simba Queens ilitawala mchezo kwa dakika zote 90. Kipindi cha kwanza tu ingeweza kuwa juu kwa goli 2 au zaidi. Kipindi cha pili ndiyo kabisa, Queens ilipoteza nafasi nyingi sana.

Shida ya Queens ipo kwenye ubinafsi wa wachezaji wanapoenda kufunga au labda ndiyo mafundisho ya mwalimu wao. Kila mtu alikuwa anataka afunge yeye tena kibaya zaidi kwa mashuti ya nje ya 18. Nilishangaa kutomuona Mwalimu akiwaambia wabadili mbinu kwa kusogea walau ndani ya box kwanza baada ya kuona huo mpango hauzai matunda badala yake wamecheza hivyo kwa dakika zote 90.

Simba Queens ikiachana na Corazone ambaye amekuwa mzito mno, miguu imelegea na anacheza kimaza sana halafu ikapata striker wa maana, tayari Yanga haiwezi kushindana na Queens hiyo kwenye mbio za ubingwa. Hata yule Precious naye toka amekuja Queens sijamuona akicheza kwa kujituma, waachane naye. Najua ipo hofu ya kuwaacha wachezaji wakongwe maana upande wa pili watawabeba wooote ila ujasiri ule ule uliotumika kwa senior team inabidi utumike kwa Queens.

Yanga inacheza kwa kukamia ikicheza na Queens ila ni timu ya kawaida saana na kwenye mbio za ubingwa bado ina safari ndefu.
Msimu ujao yanga bingwa
Na usisahau imeanza kwa kuchukua Samia cup
Simba walikosa magoli kama ambavyo yanga ilikosa mbinu na uwezo ulikuwa almost sawa kitu ambacho zamani hata usipoangalia mechi bado unajua Simba atashinda
Zama zimebadirika
 
Samia Cup ni bonanza na haikuwa focus ya Simba wala JKT. Baada ya miaka miwili nani atakumbuka bingwa wa Samia Cup wakati mashindano hayatakuwepo?

Derby haijawahi kuwa rahisi tusidanganyane. Inawezekana hata derby ya mzunguko wa kwanza ilikuwa ngumu kwa Simba kuliko hata hii ya juzi na kumbukumbu zangu zinaniambia hivyo na kama sikosei Simba ilipata ushindi mzuri tu.

Hii kusema msimu ujao fulani bingwa ni kujizima data tu na kuleta ushabiki mandazi.
 
Back
Top Bottom