Niliyoyashuhudia Jeshini

I rest my case.Laini laini hama Njiro.Ngarenaro ujue msoto hata kidogo tu.
 
Eeee nliingia mule, wachina ndo wanaoperate pale kila kitu!
🤣🤣🤣🤣 nilijua tuuu utawataja wale wachina...enzi napita hapo kulikuwa na mbu wengi sana Kuruta tulisumbuliwa sana na maralia...ilikuwa ngumu pia kujongomea...porini kulikuwa na chatu wakubwa...harafu wewe kama ulipita enzi za Mbuge itakuwa ilikuwa OP Kikwete...? au miaka 55 ya uhuru...?
 
😂😂Tuache nlikuwa OP gn? Maana raia wa humu waache tu kama walivo
 
Aisee.
 
uwe sasa unasalimia wakubwa...nimepakumbuka bustani kule...vipi na nyie mlikuwa mnajipikilisha...?
Bustani utawala mwingi uwe kwenye nyanya au chainizi unapiga kazi chapu ukimaliza unazama kwenye mikorosho unakula mabibo mpaka sauti haitoki
njaa bwana hivi ulishawahi kuiona njaa yetu kuruta ilivyokuwa hairidhiki...unaweza mkala ugali kilo 3 waTu wawili 🤣🤣🤣
Mwanzoni tulivofika ukiwekewa msosi ulikua unabaki, Baada ya kimbembe kuanza aisee unakula A coy ukimaliza unawahi C coy unamaliza E coy!

Wakaanzaga utaratibu wanapeana code kwenye kombania zao maana kuruti zinarudia msos kwenye coy mbali mbali lkn tulikula sana😁
 
ila bado ulikuwa hushibi🤣🤣🤣 tulikulaga kindoo cha lita 10 kilijazwa makande...watu 4 tulikimaliza🤣🤣🤣🤣

hiyo siku nilipangwa Lindo wallah nili lala hadi kuna kucha🤣🤣🤣🤣 pange tokea ambush ninge kufa usingizini....!​
 
Kiukwel ningeingia mtaani na ulaji ule aiseee 😂hiii migahawa ya tabata ningekula misos yote! Nlivomaliza course home nkitengewa msos yaan ile nimemaliza kula ndo nakua ktk ile point nakua sasa ndo nahitaji Nile
 
0
Mm pia nilipigwa mabanzi siku mmoja tu nikaachana na kwata
Nikawa mtu wa mazoezi yote kasoro kwata
 
Ndooo madekoo yenyewe hayo walikuzoeza Vibaya mtoto akiwa anaelelewa muache ajitegemee
 
Halaf kuna sie tuliosoma milambo hata hatukupata shida yoyote huko jkt
 
Uyo mbona manzi mkuu,alikuwa na haki kulia lia [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaha daah hapo kwenye intro umenikumbusha mbali ni mwendo wa vichurachura, vibatabata, kuroll na kunyakua goti lifike kwenye kidevu

Maafande walikuwa wakiona sehemu kuna kamuinuko utasikia, haya kuruta wote chuchumaa chini raha ya kichurachura ni muinuko, kwahiyo mnaupanda ule muinuko kwa kichurachura

Halafu hivi sijui ni kambi zote au baadhi tu, ila sijui kwanini kambi nyingi lazima kuwe na muinuko kwenye geti la kuingilia, yani mara nyingi wanapenda kuweka mageti ya kuingilia sehemu zenye miinuko tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…