Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 6,346
- 14,546
😅😅😅Alihamishwa pale kapelekwa kambi mpya songwe hukoYeye ndio alitukuta sisi
Mzee anazingua sana yule masihara muda wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅😅Alihamishwa pale kapelekwa kambi mpya songwe hukoYeye ndio alitukuta sisi
I rest my case.Laini laini hama Njiro.Ngarenaro ujue msoto hata kidogo tu.Hakika,, kuna vitoto viko hivyo. Lakini binafsi siioni katika kudeka, sijui ni mazoea ya makuzi.
Mfano mdogo, nimekulia kwenye nyumba ambayo haina ndoo za lita 20. Ni tank, majaba na vindoo vya lt 10.
Nimemaliza heka heka za kusoma, nikapata tempo mkoani. Mshua akagoma nisitoke nyumbani kwenda kuishi mwenyewe ama laa niende huo mkoa nikakae kwa ndugu flani, nikakubali kwenda kwa huyo ndugu.
Hilo eneo nikakuta maji kukatika week nzima ni kawaida tu na hawana tank. Wana madumu na mandoo kibao ya Lt20, mimi siwezi kuyabeba.. yule mtu anapiga simu home kunisemelea kwamba najifanyisha. Home wananitetea kidizain aendelee kunizoesha kidogo kidogo.
So hapo napo ni kudeka? Hapana ni mazoea ya makuzi.
Nachukia kuumwa, ile moment mwili unakuwa unconfortable uwa siipendi. So najikuta ndio nimeshalia.
Mazoea ya kusindikizana pia, sijui umeagizwa wapi unaenda na mdogo wako, ama unaenda wapi umeenda na mama. Haya yalinifikia mpaka huku utu uzimani.. nikitoka job imetokea ninaondoka mwenyewe, nashindwa kutembea mwenyewe, naangalia contact list nimpigie nani mpk nifike stand.
kuna mtu humu anaitwa Lenie, nimemsumbua sana. Nikitoka nampigia tustorike mpaka navyopanda hiace. 😂
So ni mazoea na sio madeko… mtoto kamzoea baba ake, akimuona lazima amgande gande. Nyie ndo mnaona madeko? Hapana 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣 nilijua tuuu utawataja wale wachina...enzi napita hapo kulikuwa na mbu wengi sana Kuruta tulisumbuliwa sana na maralia...ilikuwa ngumu pia kujongomea...porini kulikuwa na chatu wakubwa...harafu wewe kama ulipita enzi za Mbuge itakuwa ilikuwa OP Kikwete...? au miaka 55 ya uhuru...?Eeee nliingia mule, wachina ndo wanaoperate pale kila kitu!
😂😂Tuache nlikuwa OP gn? Maana raia wa humu waache tu kama walivo🤣🤣🤣🤣 nilijua tuuu utawataja wale wachina...enzi napita hapo kulikuwa na mbu wengi sana Kuruta tulisumbuliwa sana na maralia...ilikuwa ngumu pia kujongomea...porini kulikuwa na chatu wakubwa...harafu wewe kama ulipita enzi za Mbuge itakuwa ilikuwa OP Kikwete...? au miaka 55 ya uhuru...?
😂😂Tuache nlikuwa OP gn? Maana raia wa humu waache tu kama walivo
Aisee.SEHEMU YA 6
NIKAFUNGUA MOYO
Nilifungua moyo niliona sina jinsi pale siwezi kutoka, mateso upande wangu yalipungua kuna ratiba za jeshi nikaanza kuzipenda hivyo sikuons mambo tena kama mateso ila njia ya kujifunza.
Kwanza, saa 10 alfajiri filimbi ikilia nawahi kombania inapigwa rokoo.
Baada ya pale wanaita wagonjwa njoeni upande wa huku, wazima pangeni mistari mabio yanaanza uelekeo road kuu. (Mabio- Jogging)
Nilikua nakimbilia mabio bila kulazimishwa nilikua naenjoy zile chenja sababu zinaongeza morale na My favourite ni hii; (Nimesahau maneno ila anayekumbuka naomba aniandikie)
🎶Kimbwekombweko cheza!
Kimbekele cheza....🎶
WEEK 6
Nakumbuka tulikua kombania usiku tumekaa chini kwenye vumbi bakabaka ana dumu na fimbo akipiga 1 tunasimama akipiga 2 tunachuchumaa akipiga 3 tunalala chini zoezi, push up za kutosha ila hapa girls tulikua tunachekesha sana hizo pushup zetu! Tulikaa mpaka saa 5 tukaenda kulala
Mimi nilikua nikirudi Angani naenda kuoga, kupiga mswaki na marafiki zangu tukirudi tunavaa nguo kabisa ndo tunalala ili filimbi ikipigwa hiyo saa 10 alfajiri ngoma uelekeo kombania.
Basi alfajiri ikafika kila mtu kafunga kikombe chake kwenye pitshort sababu tuliambiwa kuna dharula hivyo kila mtu aende na kikombe kakifunga kwenye pitshort angani kutafungwa hivyo hakuna atakayeweza kuingia.
Kama kawaida mabio umbali kutoka Gongo la Mboto hadi Airport nilikua naenjoy mabio.
Tumerudi kushakucha! tukaambiwa tupange foleni kazi imeanza.
Nilijuta upya kwenda jeshi, Bakabaka wakaanza kurutaaaa fungua moyo kazi imeanza! wote kichurachura uelekeo huu hapa basi tunawafata kwa kichurachura huku wanatuonyesha maeneo ya jeshi kama nyumba zao, jikoni, utawala, mazingira yote. Vuta picha kambi za jeshi zilivyo kubwa sasa tunazunguka kwa kichurachura, mkichoka mnaroll.
Tukachukuliwa hadi kwenye bonde tukaambiwa aya lala chini roll mpaka darajani! Huwa nahisi kambi nyingi zina madaraja chini mteremko wa maji.
Tulikua kimafungu hivyo ni rahisi kusimamiwa na kila mtu anafanya kwa uangalizi mkubwa.
Wazee nikaanza kuroll mpaka darajani nilihisi dunia chungu, kilio sio cha nchi hii njia yenyewe ina kokoto, vumbi.
Tumefika darajani kuna mteremko wa maji yanapita njia bakabaka akasema aya tumbukieni humo ndani ya daraja, muoge sababu tokea mnekuja hamjaoga Sawa kuruti?? Tunaitikia "Ndio sawa afande"
Aisee tukatumbukia fasta sababu ukiremba cha moto utakiona
Wakatuambia hakikisha umejipakaza poda ya kutosha mwili mzima umekua mrembo ndo utoke (poda- vumbi, matope).
Sasa katika harakati za kujipaka matope kuna kitu kikanichimba gotini sijui mpaka leo ni nini damu zikaanza kumwagika kama zote goti linauma
Ikabidi wanitoe nikapelekwa zahanati kufungwa bandage hiyo siku ikawa ponea yangu
Ila wenzangu walisota sana.
Mchana sasa muda wa kula tukaambiwa kila mtu akachukue tofali kituoni dakika 5 uwe usharudi kuchukua msosi.
Mimi nina kidonda nikajua nitaonewa huruma kumbe holaa nikaenda kubeba tofali tunabeba kwenye kipara, wengine wakaeka ngata ya box!
Tulivyofika jikoni wakaanza kukagua walioeka ngata wakakusanywa wakapewa trip zingine wabebe matofali ndo wachukua msosi.
kuruta wengi tulikua tushafungua moyo, vilio malalamishi yalipungua sana.
Baada ya msosi kuruta wote uelekeo shambani hamna kupumzika.
Mjeda namesake akamfata bakabaka "Naomba mabinti wachache wakasafishe maeneo ya mkuu wa kambi
Basi na mimi nikachukuliwa ikawa ponea yangu, mkuu wa kambi alikua anaishi pale.
Jioni tukaenda kula after filimbi uelekeo kombania uwe umemaliza kula ama lah, nikaenda
Tukaanza kufundishwa kwata hapo usiku tunafundishwa zile nyepesi za mwanzo
Hapa nilipata mtihani mpya!😂 nilikua Nanga hatarii mkono siwezi kutupa ipasavyo usiku ule nilichezea mapanzi ya kutosha.
Kwanini wanaojitolea ni wakatili vileee?
Itaendelea.....
Ulinitangulia kidogo🤭🤭🤭🤭🤣🤣🤣🤣 mimi nilikuwa Op Kikwete...2015...nahisi kama tulikuwa wote wewe jamaa
Ulinitangulia kidogo
Bustani utawala mwingi uwe kwenye nyanya au chainizi unapiga kazi chapu ukimaliza unazama kwenye mikorosho unakula mabibo mpaka sauti haitokiuwe sasa unasalimia wakubwa...nimepakumbuka bustani kule...vipi na nyie mlikuwa mnajipikilisha...?
Mwanzoni tulivofika ukiwekewa msosi ulikua unabaki, Baada ya kimbembe kuanza aisee unakula A coy ukimaliza unawahi C coy unamaliza E coy!njaa bwana hivi ulishawahi kuiona njaa yetu kuruta ilivyokuwa hairidhiki...unaweza mkala ugali kilo 3 waTu wawili 🤣🤣🤣
Bustani utawala mwingi uwe kwenye nyanya au chainizi unapiga kazi chapu ukimaliza unazama kwenye mikorosho unakula mabibo mpaka sauti haitoki
Mwanzoni tulivofika ukiwekewa msosi ulikua unabaki, Baada ya kimbembe kuanza aisee unakula A coy ukimaliza unawahi C coy unamaliza E coy!
Wakaanzaga utaratibu wanapeana code kwenye kombania zao maana kuruti zinarudia msos kwenye coy mbali mbali lkn tulikula sana😁
😁 Ngara ya juu mimi nataka. Nikajifiche huko na wamasaiI rest my case.Laini laini hama Njiro.Ngarenaro ujue msoto hata kidogo tu.
Kiukwel ningeingia mtaani na ulaji ule aiseee 😂hiii migahawa ya tabata ningekula misos yote! Nlivomaliza course home nkitengewa msos yaan ile nimemaliza kula ndo nakua ktk ile point nakua sasa ndo nahitaji Nileila bado ulikuwa hushibi🤣🤣🤣 tulikulaga kindoo cha lita 10 kilijazwa makande...watu 4 tulikimaliza🤣🤣🤣🤣
hiyo siku nilipangwa Lindo wallah nili lala hadi kuna kucha🤣🤣🤣🤣 pange tokea ambush ninge kufa usingizini....!
haujajibu swali mjinga weweAkili kubwa hujadili maendeleo.
Akili za kawaida hujadili matukio.
Akili mbovu hujadili watu.
0SEHEMU YA 7
Nashangaa muda unaenda mbona haturuhusiwi kwenda kulala?
Yule bakabaka akastopisha kwata akasema hivi sasa ni saa 2 usiku muda bado kabisaa! 😂
Kuruta tunaulizana muda bado kivipi akati tumetumia muda mwingi kombania.
kuruta wakisinzia wanapewa kazi ya kushindana kukimbia
Mimi sikua nasinzia nilikua najipa moyo muda simrefu tunaenda kulala ila wapiiiii.... kila muda bakabaka anasema ndo kwanza saa 2 kamili usiku.
Tunaimba chenja, mazoezi ya viungo kwenye mazoezi nilikua napenda viroba (squats) hata 100 nashuka tu nasihisi kuchoka. then bakabaka anasema hapohapo ulipo jilaze ulale! Basi watu fasta tunajilaza kwenye vumbi
Dakika 5 nyingi anasema inuka rukaruka kichura😄
Kuruta tulipata hasira hadi wengine wakaanza kusonya.
Hapa nilishangaa kitu! Kuruta anamsonya bakabaka halafu hafanywi kitu zaidi tu anasmile halafu anasema "kuruta fungua moyo huo"
Ila walikua wanaudhi fikiria mtu anakuambia lala ghafla ruka kichura anarudia mara nyingi zile hasira plus usingizi watoto wengine hawana adabu wanamsonya na yeye anablush tu.
Hamuwezi amini alfajiri ilifika tukishuhudia kwa macho! Sasa tunaulizana "mbona leo hatujaenda kulala?" Tutafanya nini ndo ishapita hiyoo😄
Tukapanga foleni mabio yakaanza, kama nilivyosema muda wa mabio niliupenda sana zile chenja ndo ugonjwa wangu nikawa nakimbia bila kutegea nafurahia kukimbia.
Tumerudi jogging uelekeo shambani, tukitoka shambani chai kuipata hadi ukimbie 2km, tukitoka chai uelekeo kwata
Sikupenda kwata nilikua nanga nimekula mabao mengi tu mpaka bakabaka akanichoka! Akaniambia labda utaweza vitu vingine kama ngoma coy, karate au kazi mchanganyiko.
Ratiba iliendelea mpaka wiki ikakata hatukurudi angani hatukulala wiki nzima!
Baada ya wiki sasa bila kulala! vituko vilianza mtu anachuma machungwa huku kafumba macho anaota kabisa😄
Mimi ile mabio nikawa nakimbia huku nasinzia, chenja naitikia miguu inaenda mbele lakini nimelala ila naota nakimbia.
Unaweza usiamini lakini hali ndio hiyo.
Bakabaka wakawa wanasema hawa itabidi leo wakalale wasije kutufia bure hapa!
Kitengo cha kuvuna machungwa tulikua tunapiga story sana na bakabaka.
Wiki ilipita bila kuoga.
Usiku ukafika mimi najua kabisa leo tunaenda kulala, nikawa na furaha , sasa muda unaenda ila haturuhusiwi, njaa ikawa inaniuma nikasema subiri nitoroke niende kunywa chai jikoni halafu nirudi fasta kombania nilihisi tulidanganywa leo tena tunakesha.
Lahaula nilijuta kwanini nilitoroka........
Itaendelea.
Mm pia nilipigwa mabanzi siku mmoja tu nikaachana na kwataSEHEMU YA 7

Good start.Umepanga lini nikusaidie kuhama kama kweli?😂😁 Ngara ya juu mimi nataka. Nikajifiche huko na wamasai
Ndooo madekoo yenyewe hayo walikuzoeza Vibaya mtoto akiwa anaelelewa muache ajitegemeeHakika,, kuna vitoto viko hivyo. Lakini binafsi siioni katika kudeka, sijui ni mazoea ya makuzi.
Mfano mdogo, nimekulia kwenye nyumba ambayo haina ndoo za lita 20. Ni tank, majaba na vindoo vya lt 10.
Nimemaliza heka heka za kusoma, nikapata tempo mkoani. Mshua akagoma nisitoke nyumbani kwenda kuishi mwenyewe ama laa niende huo mkoa nikakae kwa ndugu flani, nikakubali kwenda kwa huyo ndugu.
Hilo eneo nikakuta maji kukatika week nzima ni kawaida tu na hawana tank. Wana madumu na mandoo kibao ya Lt20, mimi siwezi kuyabeba.. yule mtu anapiga simu home kunisemelea kwamba najifanyisha. Home wananitetea kidizain aendelee kunizoesha kidogo kidogo.
So hapo napo ni kudeka? Hapana ni mazoea ya makuzi.
Nachukia kuumwa, ile moment mwili unakuwa unconfortable uwa siipendi. So najikuta ndio nimeshalia.
Mazoea ya kusindikizana pia, sijui umeagizwa wapi unaenda na mdogo wako, ama unaenda wapi umeenda na mama. Haya yalinifikia mpaka huku utu uzimani.. nikitoka job imetokea ninaondoka mwenyewe, nashindwa kutembea mwenyewe, naangalia contact list nimpigie nani mpk nifike stand.
kuna mtu humu anaitwa Lenie, nimemsumbua sana. Nikitoka nampigia tustorike mpaka navyopanda hiace. 😂
So ni mazoea na sio madeko… mtoto kamzoea baba ake, akimuona lazima amgande gande. Nyie ndo mnaona madeko? Hapana 😂😂😂
Halaf kuna sie tuliosoma milambo hata hatukupata shida yoyote huko jktMimi nimesoma shule ambayo waalimu ni majeda mnaamshwa saa kumi usiku,tunaanza kukimbia tukiimba jua lile lile le mkemama ayaya iya iya mama mnarudia times na times hadi kumepambazula kiwanja mara 10 tu nakimbia kipumzika unakula teke hadi unazima unatulizwa kama mpira. Unarudia tena na tena hadi saa nne akiamu
So tunajua hilo . Push za kijeda ,sio za kidada, na vingine vingi
Uyo mbona manzi mkuu,alikuwa na haki kulia lia [emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo madogo wa siku hizi ni lege lege Sana, eti na mzazi nae anasisitiza kabisa ukiona mazoezi ni magumu niambie nikufuate. Anaongea as if akienda kikosini ni kama anaenda kwa mwalimu mkuu wa shule ya msingi na kumuomba mwanae aondoke nae[emoji1787][emoji1787]
Komaa boy adui sio baba ako
Hahaha daah hapo kwenye intro umenikumbusha mbali ni mwendo wa vichurachura, vibatabata, kuroll na kunyakua goti lifike kwenye kidevuSEHEMU YA 6
NIKAFUNGUA MOYO
Nilifungua moyo niliona sina jinsi pale siwezi kutoka, mateso upande wangu yalipungua kuna ratiba za jeshi nikaanza kuzipenda hivyo sikuons mambo tena kama mateso ila njia ya kujifunza.
Kwanza, saa 10 alfajiri filimbi ikilia nawahi kombania inapigwa rokoo.
Baada ya pale wanaita wagonjwa njoeni upande wa huku, wazima pangeni mistari mabio yanaanza uelekeo road kuu. (Mabio- Jogging)
Nilikua nakimbilia mabio bila kulazimishwa nilikua naenjoy zile chenja sababu zinaongeza morale na My favourite ni hii; (Nimesahau maneno ila anayekumbuka naomba aniandikie)
[emoji445]Kimbwekombweko cheza!
Kimbekele cheza....[emoji445]
WEEK 6
Nakumbuka tulikua kombania usiku tumekaa chini kwenye vumbi bakabaka ana dumu na fimbo akipiga 1 tunasimama akipiga 2 tunachuchumaa akipiga 3 tunalala chini zoezi, push up za kutosha ila hapa girls tulikua tunachekesha sana hizo pushup zetu! Tulikaa mpaka saa 5 tukaenda kulala
Mimi nilikua nikirudi Angani naenda kuoga, kupiga mswaki na marafiki zangu tukirudi tunavaa nguo kabisa ndo tunalala ili filimbi ikipigwa hiyo saa 10 alfajiri ngoma uelekeo kombania.
Basi alfajiri ikafika kila mtu kafunga kikombe chake kwenye pitshort sababu tuliambiwa kuna dharula hivyo kila mtu aende na kikombe kakifunga kwenye pitshort angani kutafungwa hivyo hakuna atakayeweza kuingia.
Kama kawaida mabio umbali kutoka Gongo la Mboto hadi Airport nilikua naenjoy mabio.
Tumerudi kushakucha! tukaambiwa tupange foleni kazi imeanza.
Nilijuta upya kwenda jeshi, Bakabaka wakaanza kurutaaaa fungua moyo kazi imeanza! wote kichurachura uelekeo huu hapa basi tunawafata kwa kichurachura huku wanatuonyesha maeneo ya jeshi kama nyumba zao, jikoni, utawala, mazingira yote. Vuta picha kambi za jeshi zilivyo kubwa sasa tunazunguka kwa kichurachura, mkichoka mnaroll.
Tukachukuliwa hadi kwenye bonde tukaambiwa aya lala chini roll mpaka darajani! Huwa nahisi kambi nyingi zina madaraja chini mteremko wa maji.
Tulikua kimafungu hivyo ni rahisi kusimamiwa na kila mtu anafanya kwa uangalizi mkubwa.
Wazee nikaanza kuroll mpaka darajani nilihisi dunia chungu, kilio sio cha nchi hii njia yenyewe ina kokoto, vumbi.
Tumefika darajani kuna mteremko wa maji yanapita njia bakabaka akasema aya tumbukieni humo ndani ya daraja, muoge sababu tokea mnekuja hamjaoga Sawa kuruti?? Tunaitikia "Ndio sawa afande"
Aisee tukatumbukia fasta sababu ukiremba cha moto utakiona
Wakatuambia hakikisha umejipakaza poda ya kutosha mwili mzima umekua mrembo ndo utoke (poda- vumbi, matope).
Sasa katika harakati za kujipaka matope kuna kitu kikanichimba gotini sijui mpaka leo ni nini damu zikaanza kumwagika kama zote goti linauma
Ikabidi wanitoe nikapelekwa zahanati kufungwa bandage hiyo siku ikawa ponea yangu
Ila wenzangu walisota sana.
Mchana sasa muda wa kula tukaambiwa kila mtu akachukue tofali kituoni dakika 5 uwe usharudi kuchukua msosi.
Mimi nina kidonda nikajua nitaonewa huruma kumbe holaa nikaenda kubeba tofali tunabeba kwenye kipara, wengine wakaeka ngata ya box!
Tulivyofika jikoni wakaanza kukagua walioeka ngata wakakusanywa wakapewa trip zingine wabebe matofali ndo wachukua msosi.
kuruta wengi tulikua tushafungua moyo, vilio malalamishi yalipungua sana.
Baada ya msosi kuruta wote uelekeo shambani hamna kupumzika.
Mjeda namesake akamfata bakabaka "Naomba mabinti wachache wakasafishe maeneo ya mkuu wa kambi
Basi na mimi nikachukuliwa ikawa ponea yangu, mkuu wa kambi alikua anaishi pale.
Jioni tukaenda kula after filimbi uelekeo kombania uwe umemaliza kula ama lah, nikaenda
Tukaanza kufundishwa kwata hapo usiku tunafundishwa zile nyepesi za mwanzo
Hapa nilipata mtihani mpya![emoji23] nilikua Nanga hatarii mkono siwezi kutupa ipasavyo usiku ule nilichezea mapanzi ya kutosha.