Niliyoyashuhudia Jeshini

Asante kwa ufafanuzi.

Ila kwa hapa bongo wanajeshi wengi mdebwedo.
 
Jeshini hakuna mateso bali kuna mazoezi ya kijeshi ya kumfanya mtu awe ngangari na kujua mbinu za kujiokoa vitani ama kwenye vurugu, ukiwa mwanaume wa Dar lazima utasema kuna mateso ila uhalisia ni kwamba hayo mateso ambayo nyie wanaume wa Dar mnayaita ni mazoezi tu ya kawaida kwetu sie wengine.
 
CHAI
 
Nafikiri angekuwa kashafariki au kuwa Anfiti kabisa,
 
Duu pole ila ulitoka na kitu huko!
 
Majumbani mideko mingi [emoji3] pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…