Niliyoyashuhudia Jeshini

Niliyoyashuhudia Jeshini

[emoji445]Nasikia raha utamu, Tena raha utamuuuuu....

Weeeh! Siku ya kwanza alisemaje, Mama Naumiaaaaa.....

Siku ya pili akasemaje, Mdogomdogo inaingiaaaaa.....

Siku ya tatu akasemaje, Lini utarudiaaaa....

Siku ya nne akasemaje, Nasikia raha utamuuuuu....

Jamani raha utamuuuuu.....[emoji445]
chenja yangu pendwa
 
Kwahiyo tunda ephen_ ilikulazimu umpe tunda service man ili kukwepa adhabu? Na hiki ndiyo kinatisha wazazi na wale wote ambao hatujaenda jeshini. Kuna tabia mbaya.

Katika simulizi yako yote hujaeleza faida yoyote ya maana uliyoipata huko jeshini kwa maana ya ujuzi ama maarifa.

Kweli mtu unaenda kupakaa matope, kukesha ukiimba na kichimbq visiki ktk karne hii? So what?

Nilitegemea mnafundiahwa namna ya kubadilisha mbegu za mimea ziwe ziendane na mabadiliko ya tabia nchi. Mngefindishwa namna bora ya kufuga, kulima na ubunifu wa kutengeneza silaha za kisasa.

Kuoga tope? Kukesha? Halafu mnaishia kugawa tunda kwa service man!!!!?? Aghhhj!! No! No!
Umesoma story yote ulichojifunza ndo hicho!
Hongera.
 
Hahaha daah hapo kwenye intro umenikumbusha mbali ni mwendo wa vichurachura, vibatabata, kuroll na kunyakua goti lifike kwenye kidevu

Maafande walikuwa wakiona sehemu kuna kamuinuko utasikia, haya kuruta wote chuchumaa chini raha ya kichurachura ni muinuko, kwahiyo mnaupanda ule muinuko kwa kichurachura

Halafu hivi sijui ni kambi zote au baadhi tu, ila sijui kwanini kambi nyingi lazima kuwe na muinuko kwenye gate la kuingilia, yani mara nyingi wanapenda kuweka mageti ya kuingilia sehemu zenye muinuko tu
sikutaka kuwa mjinga siku ya intro baada ya kuona hapa sitoboi nilichana pitshot katikati
 
Nilikutana na mabinti wawili wakiwa wametoka jkt nadhani walikua wanasubiria ajira, aisee Hawa watoto walikua smart sana na wapambanaji... Walikuja mkoa nilikuwepo kusaka maisha... Mwisho wakaishia kupata ajira za ulinzi kwenye mahoteli... Tulizoeana nao sana... Walikua wananichukulia kama kaka Yao

Ila mwisho wa siku jinsia tofauti zikikaa muda mrefu pamoja mambo mengi yanabadilika, niliishia kuzitafuna mbususu zao wote kwa kipindi tofauti ... Walipata zali sa ivi mmoja ni immigration na mwingine polisi dar .. na tunawasiliana kama kawaida
 
Haha mimi nililenga mijusi mkuu wapo wale masniper wenyewe walioweza, intake yetu waliolenga nyingi sana ni tatu hakuna aliyepata zote tano, hapo kwenye kudoji umenikumbusha kuna afande alikuwaga anasema kuruta nikikukuta umedoji uwe peke yako nitakuacha ila mkiwa wengi andaeni nguvu tu
😃Kuna mananga yaliweka Rapid badala ya single shots😅hawa kama msimuliaji walikuwa wanalala muda wa kipindi..

Zikianza kurindima😄mlio utapenda mbona
 
SEHEMU YA 13
MAOKOTO

mwanzoni kuruta wote tulipewa kopo la uani na sanitizer sisi tukajua ni upendo tunapendwa sanaaa na bakabaka.
Mwisho wa mwezi ukafika kuruta njoeni kuna maokoto yenu jeshi tunawapa iwasogeze siku.

Tumekaa kombania bakabaka kashika burungutu mimi jina langu ni herufi ya mwanzo kwahiyo hela nilikua napewa wa kwanza

Nikaitwa jina nikaenda nikapewa hela halafu nisign, nikapiga jicho kwenye amount iliyoandikwa ni tofauti na niliyopewa, nikimaanisha nimepewa nusu ya hela.

Wote tukapewa tukaanza kuulizana vipi mbona tumepewa hela nusu?
Bakabaka akatuambia "Mlivyokuja mlichukua makopo yetu na sanitizer mlidhani tumewapa bure?"

Ikawa kila mwezi tunapewa maokoto nusu kisingizio ety tulivyokuja walitupa makopo na sanitizer zao!😄

NADHARIA YA WANAJESHI KUTEMBEA NA KURUTI

NIilivyotoka nyumbani usia ulikua kua makini huko wajeda sio watu wazuri!
Nikiri kwa nilichokiona WANAJESHI MNAWASINGIZIA!

Labda kama hiyo tabia ipo kambi zingine lakini kambi niliyokuepo mimi wanajeshi walikua wanajiheshimu sana.

Hawakua hata hivyo kusema wanatusumbua kuruta hapana.
Ila wanaoharibu sifa ni wale service man, wale ni vichomi kazi nyingi tunakua nao hivyo wanachukua nafasi hiyo kupenyeza nia yao ovu.

Ole wako service man umkatae utapata adhabu kama zote.
Mzazi usiogope mtoto kwenda kwa mujibu, faida ni nyingi kuliko hasara

"If it's bitter at the start, then it's sweeter in the end"
😅😅😅kambini kwetu sasa maafande kwa kushikisha watu mnazi 😅😅😅. fyddell bisha
 
NITAKUJA KUWAPA NILIYOYAONA KWENYE UWANJA WA DAMU.

UTAMBULISHO WA KAMBI (WELCOME TO THE CAMP)

BULOMBORA 821KJ

KUJITOLEA SIYO MUJIBU WA SHERIA.

WANA WALIVYOPATA MAGONJWA YA AKILI.

RAFIKI ZANGU VIPANDE(MIILI MIKUBWA) WALIVYOESCAPE KAMBINI BAADA YA MATIZI MAKALI.

NILIVYOOGELEA KWENYE SHIMO LA MAJI MACHAFU (DOSO) MTALO ULIOKUA UNATOKA BAFUNI BAADA MAKURUTI KUOGA.

NITAWASIMULIA NILIVYOENDA KUFANYA FUJO KWA KIJIJINI KWA DOSA HAPA NI RUVU JKT.

NITAWASIMULIA NILIVYOKUA NAKAZA MATRONI (DATE) NILIGUNDULIKA NA KUPATA TABU SANA.
 
SEHEMU YA 12
4. KARATE

Niliulizia kwa kuruti wenzangu waliopo karate ni yupi mkuu wa kitengo? Wakanionyesha alikua afande mpemba mfupi hivi nikamsoma nikaona sio mkali.

Kwanini nilitaka kumuona kabla?

Sababu nilijua karate ndo option yangu iliyobaki vitengo vingine sijafit hivyo sitakiwi kuleta mchezo
Kwa kusoma attitude ya mwalimu nipate mwanga kama huko nitaweza pia au lah!.

Siku ikawadia nikaenda kitengo cha karate baada ya kutoka mabio alfajiri.
"Aya jipangeni tuanze kazi" afande mpemba akasema
Kuruta wakajipanga na mimi nikaunga.

"Mbona naona sura mpya?"
Mimi afande nimekuja kujiunga na karate
"Sawa hamna tatizo hapa sifa wepesi na ustahimilivu kuruti! Fungua moyo jipe morale Wazii kuruti"
Waziii afande
Alivyonipokea niliridhika nikaona hapa nitadumu nikajikuta nimeipenda tu karate kabla hata ya kuona mziki wake.

Yule afande alikua mtulivu mstaarabu anafundisha kwa upendo hata ukikosea hakupi madoso wala mabanzi.

Style zikaanza pale afande anatupa mafunzo kwa upendo nilijikuta nimeweza zile style za siku ya kwanza japo changamoto kubwa ilikua kwenye balance lakini niliweza.

Siku zikaenda nikawa style zote nazishika naenjoy kua kitengo cha karate.
Sikua nanga wala bora nilikua katikati tu. Nakumbuka styles nyingi kama Kibadanch, zekidanch stans, Heiki danch, kosa dach na musubu danch.

Nikiulizwa nipo kitengo gani, najibu kwa kujiamini na smile lote "Mimi nipo karate"

Kitengo cha karate kilikua na serengeti wachache (serengeti - wasichana) hivyo ikijulikana wewe serengeti ni karate ilikua pride flani nzuri sana.

Hadi namaliza mafunzo mimi ni karatee!!

Itaendelea......
Ulikuwa wazee wa misimamo😅

Kambi yetu kuna kitengo kipya kilianzishwa kinaitwa KP kwamba Kula Potea.. wajomba unawaona muda wa msosi tuu baada ya hapo huwaoni sehemu yoyote
 
NITAKUJA KUWAPA NILIYOYAONA KWENYE UWANJA WA DAMU.

UTAMBULISHO WA KAMBI (WELCOME TO THE CAMP)

BULOMBORA 821KJ

KUJITOLEA SIYO MUJIBU WA SHERIA.

WANA WALIVYOPATA MAGONJWA YA AKILI.

RAFIKI ZANGU VIPANDE(MIILI MIKUBWA) WALIVYOESCAPE KAMBINI BAADA YA MATIZI MAKALI.

NILIVYOOGELEA KWENYE SHIMO LA MAJI MACHAFU (DOSO) MTALO ULIOKUA UNATOKA BAFUNI BAADA MAKURUTI KUOGA.

NITAWASIMULIA NILIVYOENDA KUFANYA FUJO KWA KIJIJINI KWA DOSA HAPA NI RUVU JKT.

NITAWASIMULIA NILIVYOKUA NAKAZA MATRONI (DATE) NILIGUNDULIKA NA KUPATA TABU SANA.
😅Uanzishe uzi wa mlioenda kwa Kujitolea sasa
 
Back
Top Bottom