atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Huwa anachapia sanaHivi huwaga unasoma comment zako kabla hujatuma [emoji3][emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa anachapia sanaHivi huwaga unasoma comment zako kabla hujatuma [emoji3][emoji3][emoji3]
Hio ni oljoro kutoka dar hadi Arusha ni masaa 8 9,akishuka stand achukue bajaji za kuwapeleka kilombero stand akapande hiace za oljorohapana hio itakua tanga mgambo ni 835 alafu mgambo ukishuka kabuku hakuna daladala za kule ni boda pia mashamba ya mgambo hayako uelekeo wa stand
Waliosoma zamani kabla ya sisi walienjoy sana. Ila sisi ndio ikawa intake ya mwishoYeah nakubaliana na wewe Mama yangu alisoma Tabora girls ananiambiaga walikuwa wanapiga course za ujeshi
Haha mimi nililenga mijusi mkuu wapo wale masniper wenyewe walioweza, intake yetu waliolenga nyingi sana ni tatu hakuna aliyepata zote tano, hapo kwenye kudoji umenikumbusha kuna afande alikuwaga anasema kuruta nikikukuta umedoji uwe peke yako nitakuacha ila mkiwa wengi andaeni nguvu tuHukupiga hata moja ukaua mijusi tuu[emoji28][emoji28]
Kwata sawaa raha ila unawajua KO wewe
Wazee wa Kazi ovyo ovyo[emoji2][emoji2]
Nyie mnakula mchana mnalud uwanjani kupiga kwata wao wanaenda Hangani kuoga mkitoka Amala kuludisha silaha mnakuta wenzenu wapo wanasimuliana movie [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]ililkuwa inakera.. anyway jeshi sifa wepesi hatukosekani wa kujila[emoji28][emoji28][emoji28]
Tofauti ni Nini?
Huko sijawahi pangwa mkuu yani kwa kifupi kitengo cha mifugo sijawahi kuwa na zali nacho ni siku moja tu nilipangwa kule poultry kuokota mayai ya kuku basi, mimi shamba langu lilikuwa kule jkt club karibu na barabara ya kwenda mikoani, tulikuwaga tunanunua vitafunwa kule kule mtu unarudi kikosini ushashiba zako
TItle inasema "niliyoyashuhudia jeshini" hivyo lazima niwaambie kila nilichokiona nikakipitia😄
Mimi mwenyewe nimechoka kuandika hapa natype episode moja ndefuu niwape tumalizane.
umecopy na kupast hayo maneno hayatumiki siku hizi...🤣🤣🤣. . . "Kuruta, nimewaambia mkae chini nyie MNA-OBEY OBEY tu, sasa mtaipata fresh" (OBEY akiwa na maana mnagoma) . . . .
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hii ni bongo ukikosoa utakosolewa sawa, wewe hiyo ''solder'' ndio nini ?
Mwendo mgumu huoAahh yani mimi kwata ndio my best na sijawahi kuwa nanga wa kwata zile steps kwangu zilikuwa very easy to capture, sasa mimi mwendo wa pole unaniboa mimi napenda goose march mwendo wa haraka halafu muwe mnapigiwa ngoma na matarumbeta bwana wee, mimi hata maadhimisho ya sherehe za kitaifa huwa napenda kuangalia lile gwaride la mwendo wa haraka wakifika pale kwenye heshima kulia wanavyochapa zile silaha aahh
Hio ni oljoro kutoka dar hadi Arusha ni masaa 8 9,akishuka stand achukue bajaji za kuwapeleka kilombero stand akapande hiace za oljoro
Kambi yangu niliyosota miaka hiyo!!!Dogo unatuahidi kesho sangapi!?? Afu dogo mlaini sana ungefika Bulombora si ungekufa!!!
Anyway Uwe na usiku Mwema mtoto wa Mama laini!!
Oljoro wanapitia mrombo/ Njiro- atomic?baridi la oljoro asingeliweza mtoto wa mama huyu...huyu hajavika Tanga amini nakwambia...pale mrombo hiace zinaenda moja kwa moja hadi oljoro labda kama siku hizi kuna bajaji....!
kulikuwa kuna hiace ambazo ikifika jioni hujapanda uwakika wa kwenda kwa mguu hadi oljoro ulikuwa mkubwa sana🤣🤣🤣
Tatizo lako utoto unakupa shida.umecopy na kupast hayo maneno hayatumiki siku hizi...🤣🤣🤣
Last born wa mama Shirima 😂Mkuu salute kwako