Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Kule tulikua tunapita shadidi, aisee Kuna afande Moja tulikua tunamwita Trump, alivo trump na alivo yy sema trump kazeeka....pale tulifeka pembeni ya mto ruvu...yaan tangu asubuh ni kufeka tu Hamna kupumzika baada ya kuona mtiti umekua mkali tukajificha kwenye majani flan marefu trump kuona watu hawapo akawasha moto tukatoka nduki tulikuja kudakwa wote!Huko sijawahi pangwa mkuu yani kwa kifupi kitengo cha mifugo sijawahi kuwa na zali nacho ni siku moja tu nilipangwa kule poultry kuokota mayai ya kuku basi, mimi shamba langu lilikuwa kule jkt club karibu na barabara ya kwenda mikoani, tulikuwaga tunanunua vitafunwa kule kule mtu unarudi kikosini ushashiba zako
Jioni tulikabidhiwa kwa afande Moja anaitwa juma 😁anaongea kisela ila jamaa ni shetani yule usiku kucha ni kubebana, ni kuimba kukimbia aisee tulikua makuruti ya demo