babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Hadithi nzuri ila hakuna gari inaitwa Hiance.Basi tulivyokua kwenye Hiance
Kumbweku ukienda kule Mbinga ni msamiati wa kimatengo ukimaanisha kugegedana.Service man stress za maisha huwa zinawasumbua
Hilo chenja sijui ndo hili
Kumbweku mbweku cheza Mbele mbele cheza🎺
Langu lilikuwa kisantini kisantini kanitukana😃nimekulia familia ambayo kutakana ni dhambi sasa jeshini nikafungulia
Accepted ✌️samahani nimekukwaza mkuu...🙏🙏🙏
Mbona hakuna sehemu alipoonesha kuwa yeye ni me hapo mwanzoni unaposema.Mwanzoni mwa story wewe ni me, ila ndani ya story inaonesha wewe ni ke. Ila all in all let proceed with our series.
Waziiiii....haha umenikumbusha mbali sanaaakurutiiiii mnywe maji mengi waziii
Washkaji wajeda wameopoa sana totoz tena zile zenye shape shape ndio zinadakwa chap maana zinaonekana wazi wazi....hii pia imekuwa fursa kwao kudaka mamanzi wazuri maraia.Demu wangu alipotoka jeshini kwenye hayo mafunzo ya waliomaliza form six ile kurudi na kuanza chuo...kila siku yupo kigamboni..navy eti anaenda kumsalimia kaka yake wa tanesko..kumbe kuna mchizi mjeshi walikutana huko kambini tanga....
Nilipigwa chini...jamaaa alikua anamuhonga tokea alipomjua kule tanga..,sema wakurungwa waga tunakubali matokeo.....haitusumbui
Anhaa mi Tanga sijawahi kufika kwani mgambo na maramba wapi ni mbali?
hapana wakati tunakaribia kuondoka ndo walikua wanataka kulianzishaWewe ulikuwa ngoma coy kwa Pte. Mbugi na Modesta🤣 Asanteni sana kwa kutukuzia ile bustani kule bwawani. Hivi nyinyi shamba la vitunguu mlilikuta?
😀😀😀😀nililivuna jeshiUmetisha😅👐
Mzeee wetu huyu tumekaaa jirani barrack'sBaba lao!
Anakwambia "unapigwa risasi mpaka ufeee .....sio kupigwa risasi tu Apana mpaka ufeee" nlimuona mara mbili TU mpaka naondoka pale
Watu hawasomi kuelewa, wanasoma ili wajibu.kuna shida kubwa mno ya uelewa kwa watu wengi. Hasa kwa kizazi cha 2000. Kina access kubwa ya maarifa, ila uelewa ni mdogo sana. Sijui shida nini.
Bwege yule.....nilikutana nae anaendesha bodaboda kule tungi hospital..nikampamia kimakusudi afu nikasema breki zilifeli......ila hakuumia sababu nilimpa ubavu akachubuka tuu🤣🤣🤣Washkaji wajeda wameopoa sana totoz tena zile zenye shape shape ndio zinadakwa chap maana zinaonekana wazi wazi....hii pia imekuwa fursa kwao kudaka mamanzi wazuri maraia.