Niliyoyashuhudia Jeshini

Niliyoyashuhudia Jeshini

Jeshi mi sijaenda ila tulikua home kambi ya jeshi pembeni tu hapo ndo nimekulia.
Sasa ilifika mahali mle kambini kama kwetu.
Naingia nachuma mboga naondoka,yaani nazurura mle ndani hamna wa kunigusa.
Kambi ni kubwa kama kijiji so hamjuani kila anayekuona anadhani mtoto wa Afande huyo.
Kumbe ni litoto la mtaani tu limeruka fensi.
Ila wakikushtukia ,maji utasema naomba Mma.
 
Service man stress za maisha huwa zinawasumbua


Hilo chenja sijui ndo hili

Kumbweku mbweku cheza Mbele mbele cheza🎺

Langu lilikuwa kisantini kisantini kanitukana😃nimekulia familia ambayo kutakana ni dhambi sasa jeshini nikafungulia
Kumbweku ukienda kule Mbinga ni msamiati wa kimatengo ukimaanisha kugegedana.
 
Demu wangu alipotoka jeshini kwenye hayo mafunzo ya waliomaliza form six ile kurudi na kuanza chuo...kila siku yupo kigamboni..navy eti anaenda kumsalimia kaka yake wa tanesko..kumbe kuna mchizi mjeshi walikutana huko kambini tanga....
Nilipigwa chini...jamaaa alikua anamuhonga tokea alipomjua kule tanga..,sema wakurungwa waga tunakubali matokeo.....haitusumbui
Washkaji wajeda wameopoa sana totoz tena zile zenye shape shape ndio zinadakwa chap maana zinaonekana wazi wazi....hii pia imekuwa fursa kwao kudaka mamanzi wazuri maraia.
 
Wewe ulikuwa ngoma coy kwa Pte. Mbugi na Modesta🤣 Asanteni sana kwa kutukuzia ile bustani kule bwawani. Hivi nyinyi shamba la vitunguu mlilikuta?
hapana wakati tunakaribia kuondoka ndo walikua wanataka kulianzisha

ngoma walikua wananichosha kupanda kilima kile cha kule eti ndo mazoezi ya pumzi 😀😀😀sikuweza kwa kweli
 
Washkaji wajeda wameopoa sana totoz tena zile zenye shape shape ndio zinadakwa chap maana zinaonekana wazi wazi....hii pia imekuwa fursa kwao kudaka mamanzi wazuri maraia.
Bwege yule.....nilikutana nae anaendesha bodaboda kule tungi hospital..nikampamia kimakusudi afu nikasema breki zilifeli......ila hakuumia sababu nilimpa ubavu akachubuka tuu🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom