Niliyoyashuhudia Jeshini

Sehemu ya 13 ni episode ya mwisho
MITAPENDEZA kama utanalizia episode ya 14.
Tueleze usiku wa kuamkia sherehe ilikuaje,siku yenyewe ya sherehe uli perform vipi karate, usiku wake furaha ulikuaje, safari ya kurudi home.
Mama alikupokeaje stendi, wadogo zako walifurahΓ­ vipi kukuona tena stori zilikuaje mpaka muda wa kwenda kulala.
 
Kesho nitakuandikia episode ya kujibu maswali yako.
 
Hii thread ina chai chache ndio maana inavutia kusoma
Hakuna chai mkuu, mengi aliyoyasimulia ni kweli na kwa kiasi flani nimeona kama kambi yao ilikuwa na wepesi. Japo sometimes unaweza pangiwa kambi ngumu ila wakufunzi wanaosimamia kombania uliyopo wakawa fair kwa hiyo mnakula maisha

Mfano hiyo siku yao ya kufungua course ilikuwa nyepesi kiasi, kwetu sisi, group letu ndo lilikuwa la pili kwenye ufunguzi wa course kwa hiyo tulikuwa kama group la maabara, wanatest kitu wakiona impact kubwa, magroup yanayofuata wanalegezewa

Kiukweli kwangu ile siku nilikuwa naona kama naota 😁😁, yaani sikuwa naamini kama naaishi ile hali maana ilifikia stage watu wanazimia yaani hadi tunafika katikati ya safari, group letu lilikuwa na wasichana wawili tu..

Sipendi sana kusimulia hizi experiences ndo maana natoa juu juu tu ila amini kuna watu walipitia experience mbaya zaidi ya unayoisoma
 
HiI riwaya ukitoa copy unikumbuke!
 
Hivi kwanini hawaruhusu kukumbatiana/ kukumbatia raia na combat ila wakiwa huko ni ruksa kukatika na combat πŸ˜‚

Hivi kuna Combatant asiyekuwa na matusi? Hawa watu ni kisima cha matusi.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Acha dharau wewe, kweli kukumbatiana na CBT hairuhusiwi ila ulivyoilinganisha na wale wanaokata viuno umenichekesha sana, kiukweli wapiganaji hawapendi sana bora wavae nguo zingine wale wa band na sanaa.
Sasa matusi si ndo kama sala la bwana we huijui? Ari na Morale
 
Kambi yetu bakabaka hawakua na hizo mambo jamaniii!!πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…